Saturday, June 24, 2017

NSSF YAKABIDHI HUNDI YA SHILINGI BILIONI 1.5 UPANUZI WA KIWANDA CHA CHAKI SIMIYU

Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umekabidhi hundi ya shilingi bilioni 1.5 kwa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu,  fedha ambazo ni  mkopo kwa ajili ya upanuzi wa kiwanda cha Chaki Wilayani humo na kuongeza uzalishaji. Hundi hiyo imekabidhiwa kwa...

TAARIFA YA RUFAA YA VYETI FEKI KUTOLEWA JUNI 30

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Laurian Ndumbaro   amesema taarifa ya rufaa ya watumishi waliobainika kuwa na vyeti feki itatolewa Juni 30, mwaka huu. Dkt Ndumbaro ameyasema hayo leo wakati alipozungumza na viongozi ngazi ya Mkoa na Wilaya,...

Wednesday, June 14, 2017

BARAZA LA UWEZESHAJI LATOA TUZO KWA MKOA WA SIMIYU KWA KUTEKELEZA SERA YA VIWANDA

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limetambua mchango wa Mkoa wa Simiyu katika  Utekelezaji wa Sera ya Viwanda na kutoa Tuzo ya kikombe na Cheti. Tuzo hizo zilikabidhiwa kwa Mkuu wa Mkoa huo, Mhe.Anthony Mtaka  na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,...

Thursday, June 8, 2017

LIFE MINISTRY YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA HOSPITALI TEULE YA MKOA SIMIYU

Shirika la Kidini la Madhebu ya Kikristo la Life Ministry limetoa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 40 kwa Hospitali Teule ya Mkoa wa Simiyu, Mjini Bariadi. Akipokea vifaa tiba  hivyo Mkuu wa Mkoa huo, Mhe.  Anthony  Mtaka ameishukuru Life Ministry kwa msaada huo...

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!