Na Stella Kalinga, Simiyu RS
Naibu Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya watu wenye Ulemavu, Mhe.Ummy
Nderiananga amewataka
watu wenye ulemavu nchini kujitokeza kuchukua mikopo inayotolewa na halmashauri
bila riba kutoka katika asilimia mbili ya mapato ya ndani ili waweze...
Saturday, January 30, 2021
Saturday, January 30, 2021