
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. David Kafulila ametumia kiasi cha Tsh.59,040,000/- (Milioni hamsini na tisa na arobaini elfu tu) kama zawadi na motisha kwa walimu, wanafunzi na shule zilizofanya vizuri katika mitihani ya Taifa ya mwaka 2021.Hafla ya kukabidhi zawadi hizo imefanyika hivi karibuni katika...