Kufuatia agizo
la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Magufuli la
kuhakiki watumishi wa Umma nchini, Uongozi wa Mkoa wa Simiyu umebaini watumishi
hewa 33 na watoro 29 kati ya watumishi 13,174 wa Mamlaka za Serikali za Mitaa za
Serikali kuu.
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony...
Wednesday, March 30, 2016
Wednesday, March 30, 2016
UONGOZI MKOANI SIMIYU WABAINI WATUMISHI HEWA 33
Monday, March 28, 2016
Monday, March 28, 2016
MTAKA AHIMIZA UFUGAJI WA SAMAKI SIMIYU
Sunday, March 27, 2016
Sunday, March 27, 2016
RC SIMIYU AAGIZA MENEJA MAMLAKA YA MAJI ACHUNGUZWE
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,
Mhe. Anthony J. Mtaka ameviagiza Vyombo vya Ulinzi na Usalama, kumkamata na
kumchunguza Meneja wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Wilayani Maswa
(MAUWASA) Mhandisi. Lema Jeremia.
Mtaka ametoa agizo hilo
kufuatia taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mhe. Rosemary...