Friday, April 28, 2017

WAZIRI LUKUVI AWATAKA WAKAZI WA LAMADI KURASIMISHA MAKAZI YAO

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi (Mb) amewataka wakazi wa Lamadi wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, kurasimisha makazi yao katika kipindi hiki ambacho zoezi la urasimishaji makazi kwa gharama nafuu linaloendelea wilayani humo. Waziri Lukuvi ametoa wito huo leo wakati...

Thursday, April 27, 2017

RC MTAKA APONGEZA JESHI LA POLISI KUPUNGUZA MATUKIO YA UHALIFU

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka  amelipongeza Jeshi la Polisi Mkoani humo kwa kupunguza matukio ya uhalifu hali iliyobadili taswira ya mkoa na kuufanya usikike katika masuala  maendeleo. Mtaka ametoa pongezi hizo katika kikao chake na Viongozi na Askari wa Jeshi la Polisi Mkoani...

Saturday, April 22, 2017

KILICHOJIRI TAMASHA LA PASAKA SIMIYU: WANANCHI WAOMBA UTARATIBU WA MATAMASHA MIKOANI UWE ENDELEVU

Wananchi mkoani Simiyu kwa mara ya kwanza wameshuhudia Tamasha la Pasaka na kuomba Mwandaaji wa Matamasha ya Nyimbo za Injili kuendeleza utaratibu huu wa kufanya matamasha wakati wa sikukuu katika mikoa mbalimbali hususani Mkoa wa Simiyu. Ombi hilo la wakazi wa Simiyu limetolewa wakati wa Tamasha...

Monday, April 17, 2017

SERIKALI MKOANI SIMIYU YAOMBA KIKUNDI CHA ULINZI CHA KIJESHI KUIMARISHA ULINZI, KUWEZESHA UFUGAJI WA SAMAKI ZIWA VICTORIA

Serikali mkoani Simiyu imeomba kuwepo kwa kikundi cha ulinzi cha kijeshi katika Wilaya ya Busega ili kusaidia mapambano dhidi ya vitendo vya uhalifu ikiwemo uvuvi haramu na kuwezesha ufugaji wa samaki ndani ya Ziwa Victoria kufanyika kwa usalama. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Anthony...

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!