Mabaraza
ya Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega na Meatu Mkoani Simiyu
yameridhia Halmashauri hizo kukopa shilingi bilioni 17.1 kutoka Benki ya
Maendeleo ya Kilimo (TADB), kwa ajili ya kutekeleza Miradi mikubwa miwili ya Maendeleo.
Maridhiano
hayo yamefikiwa katika Vikao...
Sunday, October 22, 2017
Sunday, October 22, 2017
MABARAZA YA MADIWANI SIMIYU YARIDHIA HALMASHAURI ZIKOPE BILIONI 17.1 KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO
Saturday, October 14, 2017
Saturday, October 14, 2017
TIZEBA:GINNER ATAKAYEGOMA KUPELEKA PAMBA MBEGU KWENYE KIWANDA CHA QUTON HATANUNUA PAMBA MWAKANI
Waziri
wa Kilimo Mhe.Dkt. Charles Tizeba amewataka wamiliki wa viwanda vya kuchambua
pamba(ginners) kupeleka pamba mbegu kwenye kiwanda cha kuchakata(kutoa manyoya)
mbegu za pamba cha Quton na akasema watakaogoma kupeleka hawatanunua pamba
msimu ujao.
Waziri
Tizeba ameyasema hayo jana alipotembelea...
Sunday, October 8, 2017
Sunday, October 08, 2017
RC MTAKA: SIMIYU SASA TUNAJADILI MAENDELEO YA WANANCHI SIYO MAUAJI YA VIKONGWE NA ALBINO
Mkoa wa Simiyu kwa sasa haujadili tena masuala ya mauaji ya
vikongwe na watu wenye ulemavu wa ngozi(albino) badala
yake unajidili maendeleo ya wananchi wa mkoa huo.
Hayo yamesemwa jana na Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Anthony Mtaka wakati wa
ufungaji wa Makambi ya Waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato(SDA)
yaliyoyofanyika...
Wednesday, October 4, 2017
Wednesday, October 04, 2017
WAFUGAJI NYUKI WATAKIWA KUANZISHA VIWANDA VIDOGO KUONGEZA THAMANI YA MAZAO YA NYUKI
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Eng. Ramo Makani amesema Wafugaji Nyuki wanayo fursa kubwa ya
kujikita katika uanzishwaji wa viwanda vidogo vidogo vya kuchakata, kufungasha
na kuongeza thamani mazao ya nyuki na kutengeneza vipodozi kutokana na mazao ya
nyuki.
Mhandisi
Makani ameyasema...