Na
Stella Kalinga
Naibu Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Suleiman
Jafo (Mb) amefanya ziara ya siku mbili Mkoani Simiyu
Akizungumza na Watumishi wa Sekretarieti ya Mkoa wa Simiyu,
Halmashauri ya Mji Bariadi na Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi katika Ukumbi wa Alliance...
Wednesday, September 28, 2016
Wednesday, September 28, 2016
NAIBU WAZIRI JAFO AFANYA ZIARA MKOANI SIMIYU
Tuesday, September 27, 2016
Tuesday, September 27, 2016
HATIMAYE MKOA WA SIMIYU WAPATA HOSPITALI TEULE YA RUFAA YA MKOA
Na Stella Kalinga
Hatimaye
Hospitali ya Somanda iliyokuwa inamilikiwa na Halmashauri ya Mji wa Bariadi
yakabidhiwa rasmi kwa Katibu Tawala Mkoa
wa Simiyu na kuwa Hospitali Teule ya
Rufaa ya Mkoa huo.
Makabidhiano
hayo yamefanyika kati ya Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Mji wa Bariadi...
Thursday, September 22, 2016
Thursday, September 22, 2016
SIMIYU YARIDHIA CHAKULA KITOLEWE KWA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI ZA KUTWA
Na Stella Kalinga
Kikao
cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Simiyu (RCC) kimeridhia wanafunzi wa shule za
Msingi na Sekondari za Kutwa katika mkoa huo kupata chakula cha mchana shuleni
ili kuwatengenezea mazingira mazuri ya kujifunza.
Uamuzi
huo umefikiwa kufuatia hoja iliyowasilishwa na Mbunge wa...
Wednesday, September 21, 2016
Wednesday, September 21, 2016
MKOA WA SIMIYU WATANGAZA KUANZA KUTUMIA CHAKI UNAZOZALISHA WENYEWE
Na Stella Kalinga
Mkoa
wa Simiyu unatarajia kuanza kutumia chaki zilizozalishwa na vijana wa Wilaya ya
Maswa mkoani humo kuanzia tarehe Mosi Oktoba, 2016.
Kauli
hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka katika kikao cha
Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) kilichofanyika leo katika...
Tuesday, September 20, 2016
Tuesday, September 20, 2016
RC AWATAKA WATENDAJI WA HALMASHAURI NA MADIWANI KUTOINGIZA MASLAHI BINAFSI KATIKA MIRADI YA BARABARA
Na Stella Kalinga
Madiwani
na watendaji wa Halmashauri wameaswa kuacha kuingiza maslahi binafsi katika
ujenzi wa miradi ya barabara ili kufanya miradi kusimamiwa na kujengwa katika
kiwango kinachostahili.
Hayo
yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony John Mtaka katika kikao cha
Bodi ya...
Saturday, September 17, 2016
Saturday, September 17, 2016
WAZIRI MHAGAMA AFANYA ZIARA SIMIYU KUONA HALI YA MAANDALIZI YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, 2016
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi , Vijana , Ajira na Wenye Ulemavu , Mhe. Jenista
Mhagama amefanya kikao cha ndani na Viongozi na Watendaji wa Mkoa wa Simiyu leo
katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo Mjini Bariadi, ili kupata taarifa ya
maandalizi ya Maadhimisho ya Kilele...