Na Stella Kalinga
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein
amesema Serikali imejipanga kukusanya na kutumia Mapato na rasiliamali zake kwa maendeleo ya wananchi ili kupunguza na hatimaye
kuondokana na kupewa misaada ya wahisani.
Rais
Shein...
Friday, October 14, 2016
Friday, October 14, 2016
RAIS SHEIN : SERIKALI IMEJIPANGA KUKUSANYA MAPATO NA KUPUNGUZA MISAADA YA WAHISANI
Thursday, October 13, 2016
Thursday, October 13, 2016
RAIS WA ZANZIBAR MHE. DKT. ALI MOHAMED SHEIN AWASILI SIMIYU
Na Stella Kalinga
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein
amewasili Mjini Bariadi jioni hii kwa ajili ya Maadhimisho ya kilele cha mbio
za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Kifo cha Baba wa Taifa na Wiki ya Vijana
yatakayofanyika kitaifa kesho tarehe 14 Oktoba,...
Thursday, October 13, 2016
VIJANA WAASWA KUACHA KULALAMIKA
Na Stella Kalinga
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu
Mhe. Jenista Mhagama amewataka vijana kuacha kuilalamikia Serikali na badala
yake wachukue hatua za utekelezaji.
Waziri
Mhagama aliyasema hayo jana katika ufunguzi wa Kongamano la Vijana...
Wednesday, October 12, 2016
Wednesday, October 12, 2016
WAZIRI MHAGAMA AZINDUA KIWANDA CHA KUSINDIKA MAZIWA MEATU SIMIYU
Na
Stella Kalinga
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu
Mhe. Jenista Mhagama amefungua kiwanda cha kusindika maziwa kinachoendeshwa na kikundi cha Vijana wa Meatu kilichopo wilayani
humo Mkoa wa Simiyu.
Akizungumza
na Vijana hao wanaosindika...