Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka(wa tatu kushoto) akizungumza na wadau wa
Mapambano dhidi ya Ukimwi katika Uzinduzi
wa Mpango mkakati wa Mkoa huo uliofanyika katika Ukumbi wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana Mjini Bariadi.
Baadhi
ya Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi...
Thursday, November 24, 2016
Thursday, November 24, 2016
WANAUME WAHAMASISHWA KUFANYA TOHARA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA VVU
Thursday, November 17, 2016
Thursday, November 17, 2016
WAKAZI WA MASWA KUPATA HATI MILIKI ZA VIWANJA NDANI YA SIKU 90
Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angelina Mabula
akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Maswa katika mkutano wa hadhara
uliofanyika viwanja Modeco wakati wa
ziara yake Mkoani Simiyu
Baadhi
ya wanachi Wilaya ya Maswa wakimsikiliza : Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba...
Tuesday, November 15, 2016
Tuesday, November 15, 2016
RC SIMIYU: WAMILIKI BODABODA MADEREVA WENU WAPEWE MAFUNZO
Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu , Mhe. Anthony Mtaka akizungumza na wakazi wa Bariadi Mkoani
humo wakati wa uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama barabarani.
Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu , Mhe. Anthony Mtaka na viongoi wengine wa Mkoa huo wakipokea
maandamano ya madereva na watumiaji wengine wa barabara wakati...