Waziri
wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina ameongeza muda wa mwezi mmoja kwa
Halmashauri hapa nchini kukamilisha zoezi la upigaji chapa mifugo na kuwataka
watendaji wote wa Serikali wanaohusika kuhakikisha mifugo yote inapigwa chapa.
Waziri
Mpina ameyasema hayo leo wakati wa kuhitimisha zoezi...
Sunday, December 31, 2017
Sunday, December 31, 2017
ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA MIFUGO LAONGEZEWA MUDA WA MWEZI MMOJA
Friday, December 29, 2017
Friday, December 29, 2017
NAIBU WAZIRI WA MADINI AFANYA ZIARA MKOANI SIMIYU
Naibu Waziri wa Madini
Mhe.Stanslaus Nyongo amefanya ziara yake ya kikazi leo Mkoani Simiyu.
Katika ziara hiyo Mhe.Nyongo
amekutana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Simiyu pamoja na watumishi wa Ofisi
ya Madini ya Mkoa huo, lengo likiwa ni kuzungumza masuala mbalimbali kuhusu
usimamizi wa Sekta...
Thursday, December 28, 2017
Thursday, December 28, 2017
PROFESA NDALICHAKO: WIZARA YA ELIMU HAINA URASIMU KUSAJILI SHULE IKIWA VIGEZO VIMEZINGATIWA
Waziri
wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amesema Wizara yake
haina urasimu wowote katika usajili wa shule ikiwa vigezo vyote vinavyotakiwa
vimezingatiwa katika uanzishwaji wa shule hizo.
Waziri
Ndalichako ametoa kauli hiyo jana wakati alipokwenda kuweka jiwe la msingi
katika...
Wednesday, December 27, 2017
Wednesday, December 27, 2017
UJENZI WA CHUO CHA VETA MKOA WA SIMIYU KUANZA MWEZI MACHI 2018
Waziri wa Elimu,
Sayansi na Teknolojia, Profesa. Joyce Ndalichako amesema Serikali inatarajia
kuanza ujenzi wa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi(VETA) cha Mkoa wa Simiyu
kuanzia mwezi Machi, 2018.
Waziri
Ndalichako ameyasema hayo leo wakati
alipokuwa akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Simiyu...
Friday, December 8, 2017
Friday, December 08, 2017
WANAFUNZI 19,242 WACHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2018 SIMIYU
Jumla
ya wanafunzi 19,242 mkoani Simiyu sawa na asilimia 92.5 wamechaguliwa kujiunga na
shule za sekondari katika awamu ya kwanza kwa mwaka 2018.
Hayo
yamesemwa na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Ndg.Jumanne Sagini katika kikao cha
kutangaza matokeo ya uchaguzi wa wanafunzi wa kidato cha kwanza...