Wednesday, May 31, 2017

WACHUNGAJI ,WAGANGA WA JADI WACHEZA MPIRA KULENGA KUPINGA MAUAJI YA WENYE UALBINO

Mkoa wa Simiyu umeweka historia ya Mchezo wa Mpira wa Miguu baina ya wachungaji na waganga wa jadi ikiwa ni makubaliano ya kutoa ujumbe wa kupinga mauaji ya watu wenye Ualbino na vikongwe kwa kupiga maarufuku Ramli Chonganishi ambazo zimekuwa zikichangia kwa kiasi kikubwa mauaji hayo. Mchezo huo...

SIMIYU KUFANYA MAJARIBIO YA KUFUNDISHA KUPITIA MTANDAO

Mkoa wa Simiyu unatarajia kufanya majaribio ya kufundisha wanafunzi kwa kutumia mtandao kupitia programu itakayotengenezwa na watalaam wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA). Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Anthony Mtaka katika Maadhimisho ya Wiki ya Elimu Mkoani humo yaliyofanyika...

Monday, May 29, 2017

RAS SAGINI AWATAKA WAKURUGENZI KUANDAA MIPANGO MIKAKATI YA HALMASHAURI

Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Ndg.Jumanne Sagini amewataka Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri Mkoani Humo kuandaa mipango mikakati katika Halmashauri zao. Sagini ameyasema hayo wakati akifungua mafunzo ya siku tatu ya uandaaji wa Mipango mikakati ya Mamlaka za Serikali za Mitaa Mkoani humo yanayofanyika...

Friday, May 26, 2017

RC MTAKA : HUDUMA YA AFYA NGAZI YA JAMII ITUMIWE VIZURI KUOKOA MAISHA YA WANANCHI

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amesema iwapo Mpango wa Huduma ya Afya ngazi ya Jamii utatumika vizuri utasaidia kuokoa Afya na maisha ya wananchi wengi Mkoani humo. Mtaka ameyasema hayo katika kikao kilicho wahusisha Viongozi ngazi ya Mkoa,Wilaya, watendaji wa Kata, Mitaa na Vijiji wa...

Wednesday, May 24, 2017

WANUFAIKA TASAF WAHIMIZWA KUWAPELEKA WATOTO SHULE, KLINIKI

Wanufaika wa Mradi wa Mpango wa Kunusuru kaya maskini TASAF III hususani wanaopewa ruzuku ya utimizaji wa masharti ya elimu na afya wamehimizwa kuwapeleka watoto kliniki na kuhakikisha watoto wao wanahudhuria shuleni. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani kutoka TASAF Makao Makuu,...

Monday, May 15, 2017

DED MEATU: MBEGU BORA, KILIMO CHA MKATABA MKOMBOZI KWA WAKULIMA WA PAMBA

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu, Fabian Manoza amesema Matumizi ya Mbegu bora na Kilimo cha Mkataba ni suluhu ya wakulima wa pamba inayoweza kuwasaidia kuongeza uzalishaji. Manoza ameyasema hayo wakati akitoa taarifa ya Wilaya ya Meatu kuhusu kilimo cha...

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!