Sunday, December 31, 2017

ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA MIFUGO LAONGEZEWA MUDA WA MWEZI MMOJA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina ameongeza muda wa mwezi mmoja kwa Halmashauri hapa nchini kukamilisha zoezi la upigaji chapa mifugo na kuwataka watendaji wote wa Serikali wanaohusika kuhakikisha mifugo yote inapigwa chapa. Waziri Mpina ameyasema hayo leo wakati wa kuhitimisha zoezi...

Friday, December 29, 2017

NAIBU WAZIRI WA MADINI AFANYA ZIARA MKOANI SIMIYU

Naibu Waziri wa Madini Mhe.Stanslaus Nyongo amefanya ziara yake ya kikazi leo Mkoani Simiyu. Katika ziara hiyo Mhe.Nyongo amekutana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Simiyu pamoja na watumishi wa Ofisi ya Madini ya Mkoa huo, lengo likiwa ni kuzungumza masuala mbalimbali kuhusu usimamizi wa Sekta...

Thursday, December 28, 2017

PROFESA NDALICHAKO: WIZARA YA ELIMU HAINA URASIMU KUSAJILI SHULE IKIWA VIGEZO VIMEZINGATIWA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amesema Wizara yake haina urasimu wowote katika usajili wa shule ikiwa vigezo vyote vinavyotakiwa vimezingatiwa katika uanzishwaji wa shule hizo. Waziri Ndalichako ametoa kauli hiyo jana wakati alipokwenda kuweka jiwe la msingi katika...

Wednesday, December 27, 2017

UJENZI WA CHUO CHA VETA MKOA WA SIMIYU KUANZA MWEZI MACHI 2018

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa. Joyce Ndalichako amesema Serikali inatarajia kuanza ujenzi wa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi(VETA) cha Mkoa wa Simiyu kuanzia mwezi Machi, 2018. Waziri Ndalichako ameyasema  hayo leo wakati alipokuwa akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Simiyu...

Friday, December 8, 2017

WANAFUNZI 19,242 WACHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2018 SIMIYU

Jumla ya wanafunzi 19,242 mkoani Simiyu sawa na asilimia 92.5 wamechaguliwa kujiunga na shule za sekondari katika awamu ya kwanza kwa mwaka 2018. Hayo yamesemwa na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Ndg.Jumanne Sagini katika kikao cha kutangaza matokeo ya uchaguzi wa wanafunzi wa kidato cha  kwanza...

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!