Wanafunzi wa shule ya sekondari Bariadi mkoani
Simiyu wameomba viongozi wa mkoa na wadau wote wa elimu kuwa kambi za kitaaluma
ziwe endelevu kwa kuwa zina matokeo chanya kwa katika ufaulu wa wanafunzi na
ili mkoa uendelee kufanya vizuri katika mitihani yote ya Kitaifa.
Ombi
hilo limetolewa tarehe...
Wednesday, April 14, 2021
Wednesday, April 14, 2021
WANAFUNZI SIMIYU WAOMBA KAMBI ZA KITAALUMA ZIWE ENDELEVU
Wednesday, April 14, 2021
WASTAAFU WAWAASA WATUMISHI KUFANYA KAZI KWA KUJITUMA
Watumishi waliostaafu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
wamewaasa watumishi wa Umma kufanya kazi kwa bidii, uaminifu na kujituma ili
waweze kutekeleza majukumu yao vizuri na kumaliza salama safari yao ya utumishi
wa Umma.
Rai
hiyo imetolewa kwa nyakati tofauti katika hafla...