Tuesday, September 26, 2017

TCRA YATOA ELIMU KUHUSU HUDUMA YA KUHAMA MTANDAO MMOJA WA SIMU KWENDA MWINGINE BILA KUBADILI NAMBA

Mamlaka ya Mawasiliano hapa nchini (TCRA) imetoa elimu kuhusu huduma ya kuhama kutoka Mtandao mmoja wa Simu kwenda Mtandao mwingine bila kubadili Namba ya Simu(Mobile Number Portability- MNP) mkoani Simiyu. Akizungumza na waandishi wa Habari Mjini Bariadi Mhandisi Mwandamizi wa Mawasiliano Mwesigwa Felician...

Wednesday, September 20, 2017

WAKURUGENZI WA MIFUKO, MASHIRIKA WATEMBELEA MAENEO YA UWEKEZAJI WA KIWANDA CHA BIDHAA ZA HOSPITALI, MAJI TIBA SIMIYU

Baadhi ya Wakurugenzi wa Mifuko na Mashirika ya Serikali hapa nchini wametembelea na kukagua maeneo yanayokusudiwa kutumika  katika ujenzi wa kiwanda kikubwa  cha kutengeneza  bidhaa zinazotumika hospitalini zitokanazo na  zao la pamba na kiwanda cha maji tiba(drip) mkoani...

Thursday, September 14, 2017

BAADA YA KIWANDA CHA CHAKI SIMIYU YAJIPANGA TENA UPANUZI KIWANDA CHA MAZIWA, UJENZI WA KIWANDA CHA NYANYA NA PILIPILI

Baada ya mikakati ya upanuzi wa kiwanda cha kutengeneza chaki Wilayani Maswa, Mkoa wa Simiyu umejipanga tena kufanya upanuzi wa Kiwanda cha kusindika Maziwa kilichopo Wilayani Meatu na Ujenzi wa kiwanda cha kusindika Nyanya na Pilipili wilayani Busega. Hatua hiyo imefikiwa kufuatia zoezi la upembuzi...

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!