Serikali ya Tanzania kwa
kushirikiana na Serikali ya Ujerumani, Mfuko wa Mabadiliko tabia nchi
(CGF) na wananchi, imetenga kiasi cha shilingi bilioni 375.4 kutekeleza
Mradi wa kukabiliana na changamoto zinazotokana na mabadiliko ya tabia
nchi mkoani SIMIYU kwa...
Wednesday, November 29, 2017
Wednesday, November 29, 2017
BILIONI 375.4 ZATOLEWA KUTEKELEZA MRADI WA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI NA KUTATUA TATIZO LA MAJI SIMIYU
Tuesday, November 28, 2017
Tuesday, November 28, 2017
RC MTAKA AWAKABIDHI PIKIPIKI NA GARI MAAFISA UGANI ITILIMA

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,
Mhe.Anthony Mtaka amekabidhi pikipiki za maafisa Ugani na Gari la Idara ya Kilimo wilayani Itilima na kusisitiza kuwa vyombo
hivyo vitumike kwa ajili ya kuwafikia wananchi ili kuongeza tija katika
uzalishaji wa mazao hususani zao la pamba.
Vyombo hivyo ambavyo awali
vilikuwa...
Tuesday, November 28, 2017
MADC, WAKURUGENZI MKOANI SIMIYU WAAGIZWA KUUNDA TIMU ILI KUJIRIDHISHA JUU YA WANAFUNZI WANAODAIWA KUWA MAMLUKI

Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Anthony Mtaka amewaagiza Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi
wa Halmashauri Mkoani humo kuunda timu zitakazopitia na kujiridhisha juu ya majina ya wanafunzi 633 waliotajwa kuwa
Mamluki na kuondolewa shuleni kwa kukosa sifa za kusoma shule za sekondari za
Serikali kutokana...
Thursday, November 2, 2017
Thursday, November 02, 2017
WAKULIMA MKOANI SIMIYU WATAKIWA KULIMA MAZAO YA BIASHARA
Mkuu wa mkoa wa Simiyu,Anthony Mtaka amewasisitiza wakulima Mkoani humo kulima mazao ya biashara yenye tija hasa zao la pamba kwa
kuzingatia Mkoa huo upo katika mchakato wa utekelezaji wa ujenzi wa kiwanda cha
bidhaa za afya zitokanazo na zao la pamba.
Msisitizo huo ameutoa jana wilayani...
Thursday, November 02, 2017
HALMASHAURI YA MASWA YATOA MIL 50 KWA VIJANA NA WANAWAKE
Jumla ya vikundi 16 vya wanawake na vijana vilivyopo katika kata
36 Wilayani Maswa Mkoani Simiyu vimepatiwa mkopo wa
shilingi Milioni 50 kwa ajiri ya kuboresha kilimo cha pamba katika maeneo yao.
Vikundi hivyo ambavyo hujishughulisha na kilimo...