Saturday, January 20, 2018

WAKUU WA IDARA ELIMU WAKATAKIWA KUSAIDIA JAMII KUONDOKANA NA MILA ZILIZOPITWA NA WAKATI

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka ametoa wito kwa Wakuu wa Idara za Elimu Msingi na Sekondari Halmashauri za Wilaya kuisadia jamii kuondokana na mila zilizopitwa na wakati. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu ametoa wito huo katika tathimini ya elimu iliyofanyika katika Shule ya Msingi Lukungu Wilayani Busega.    Ni...

WANUNUZI WA PAMBA WASIO WAAMINIFU WATAJWA KUWA CHANZO CHA WAKULIMA KUCHANGANYA PAMBA NA MAJI

Viongozi na wanachama wa Vyama vya Ushirika wa Mazao -AMCOS Mkoani SIMIYU wamesema chanzo cha wakulima wa Pamba kuchanganya mchanga na mafuta ya kenge kwa madai ya kuongeza uzito katika zao hilo kinatokana na baadhi ya wanunuzi wasio waaminifu  kuwaibia kupitia mizani. Hayo wameyasema katika...

Monday, January 8, 2018

RC MTAKA AMTAKA MKANDARASI KUKAMILISHA MRADI WA MAJI WA LAMADI KABLA YA SEPTEMBA 2019

Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka amemwagiza Mkandarasi wa Kampuni ya China ya CCECC  inayotekeleza mradi wa maji LAMADI kuukamilisha kabla ya mwezi Septemba 2019. MTAKA ametoa agizo hilo baada ya kuukagua mradi huo unaoanzia katika kijiji cha KARAGO hadi LAMADI wilayani BUSEGA na hadi...

MWENYEKITI, WAJUMBE WA SERIKALI YA KIJIJI LAMADI WASIMAMISHWA KAZI KUPISHA UCHUNGUZI

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka amemsimamisha kazi kwa muda wa mwezi mmoja Mwenyekiti wa Kijiji cha Lamadi Wilayani Busega Mhe.Nzala Hezron pamoja na Wajumbe wa Serikali ya Kijiji hicho, ili kupisha uchunguzi kufuatia tuhuma mbalimbali zinazowakabili. Uamuzi huo umekuja kufuatia malalamiko...

RC MTAKA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA HAPA NCHINI, AAHIDI MENGI KWA MKOA WA SIMIYU

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amekutana na Balozi wa China Nchini Tanzania Mhe.Wang Ke. Balozi Wang amefurahishwa na utekelezaji wa Mpango wa Simiyu  wa One Product One Distict-(Wilaya Moja Bidhaa Moja) Maana China kwa sasa wanatekeleza One Belt One Road. Aidha, ametoa...

Thursday, January 4, 2018

ANGELINA MABULA: HALMASHAURI ZITUMIE WATAALAM WAKE KUPIMA MAENEO ILI KUWAPUNGUZIA ADHA WANANCHI

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.Angelina Mabula amezitaka Halmashauri mkoani Simiyu kutumia Wataalam wake kupima maeneo ili wananchi waweze kupata hati miliki ya maeneo yao na kupunguza adha mbalimbali hususani migogoro. Mhe.Mabula ameyasema hayo wakati wa ziara yake Mkoani...

Wednesday, January 3, 2018

WAZIRI MWIJAGE: NJIA NZURI YA KUFIKIA UCHUMI WA KATI NI UCHUMI WA VIWANDA

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage amesema njia nzuri ya kufikia Uchumi wa Kati ifikapo mwaka 2025 ni kupitia Uchumi wa Viwanda jumuishi. Waziri Mwijage ameyasema hayo alipozungumza na wadau wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji wa Mkoa wa Simiyu wakati wa ziara yake Mkoani...

WIZARA YA ELIMU YATOA VITABU 16985 KWA SHULE ZA SEKONDARI SIMIYU

Wizara ya Elimu pamoja na wadau wengine wa Elimu wametoa vitabu 16,985 kwa shule za Sekondari za Mkoa wa Simiyu kwa ajili ya  matayarisho ya awali ya kuwaandaa wanafunzi wa kidato cha kwanza na elimu ya sekondari (baseline course). Akikabidhi vitabu hivyo kwa Maafisa Elimu wa Halmashauri zote...

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!