Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bi. Miriam Mmbaga
amewataka watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu kuwa
sehemu ya Halmashauri hiyo katika ukusanyaji wa mapato ili Halmashauri hiyo
iweze kupanda katika ukusanyaji mapato na kupata uwezo wa kujiendesha.
Mmbaga
ameyasema...
Saturday, February 27, 2021
Saturday, February 27, 2021
KILA MTUMISHI ITILIMA ASHIRIKI KIKAMILIFU UKUSANYAJI WA MAPATO: RAS SIMIYU
Saturday, February 27, 2021
RAS SIMIYU AWAASA VIONGOZI WA DINI, WAGANGA WA TIBA ASILI KUSHIRIKI KUPUNGUZA VIFO VYA WAKINAMAMA NA WATOTO
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bi. Miriam Mmbaga
ametoa wito kwa viongozi wa dini na waganga wa tiba asili mkoani Simiyu
kushirikiana na Serikali katika juhudi mbalimbali za kupunguza vifo vya wakina mama
wajawazito na watoto vitokanavyo na
uzazi.
Mmbaga
ameyasema hayo katika kikao...
Wednesday, February 17, 2021
Wednesday, February 17, 2021
WIZARA
YA ELIMU YAAHIDI KUTOA FEDHA UJENZI WA CHUO VETA SIMIYU
Na Stella Kalinga,
Simiyu RS
Naibu
waziri wa Elimu, sayansi na teknolojia, Mhe.Omary Kipanga amesema Wizara hiyo
itahakikisha inatafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha VETA cha mkoa wa Simiyu
ili kutimiza azma ya serikali...