Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA) imetoa msaada wa taulo za
kike zenye thamani ya shilingi milioni 6 lengo likiwa kuunga mkono maandalizi
ya kambi za kitaaluma kwa wanafunzi wa kidato cha nne zinazotarajiwa kuanza
mwenzi Agosti, 2021 mkoani Simiyu.
Akikabidhi taulo hizo meneja wa TMDA kanda...
Saturday, May 8, 2021
Saturday, May 08, 2021
TMDA YATOA MSAADA TAULO ZA KIKE ZENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 6 SIMIYU
Saturday, May 08, 2021
WAZAZI WENYE WATOTO WALIO MADARASA YA MITIHANI WAPUNGUZIENI KAZI: RC MTAKA

Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka ametoa
rai kwa wazazi na walezi wenye watoto walio katika madarasa ya mitihani ya
Taifa kuwapunguzia kazi ili wanafunzi hao waweze kupata muda wa kujiandaa na
mitihani hiyo na hatimaye waweze kufanya vizuri katika mitihani yao.
Mtaka
ameyasema...
Saturday, May 08, 2021
USIMAMIZI WA TMDA, ELIMU KWA UMMA ZATAJWA KUSAIDIA KUPUNGUZA BIDHAA BANDIA SOKONI
Usimamizi shirikishi, elimu kwa umma zimetajwa kuwa
ni miongozi mwa sababu zilizochangia kupunguza uwepo wa dawa bandia katika
mikoa ya kanda ya ziwa, jambo ambalo limechangia soko la bidhaa hizo (dawa)
kuwa soko salama.
Hayo
yamebainishwa na Kaimu Meneja wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba,...
Saturday, May 08, 2021
RC MTAKA ASHAURI PPRA KUFANYA TATHMINI YA MIRADI ILIYOTEKELEZWA KWA ‘FORCE ACCOUNT’
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka ametoa
rai kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma(PPRA) kufanya tathmini ya miradi
iliyotekelezwa kwa kipindi cha miaka mitano kupitia mfumo wa ‘Force Account’
(Mfumo usiotumia wakandarasi/ wakandarasi katika ujenzi) na baadaye ije na
usahauri kwa serikali...