Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu Bi. Prisca Kayombo, tarehe 11/06/2021 alifungua rasmi,michezo ya UMISSETA Mkoa, michezo ambayo ilikuwa ikifanyika katika shule ya Sekondari ya Wasichana Maswa.Akizungumza Kaimu Afisa Elimu Mkoa Bwn.Charles Maganga alisema mashindano ngazi ya Mkoa yameanza leo 11/6/21 na...
Monday, June 14, 2021
Monday, June 14, 2021
KATIBU TAWALA MKOA WA SIMIYU BI. PRISCA KAYOMBO AFUNGUA MICHEZO YA UMISSETA MKOA
Monday, June 14, 2021
WAVUVI, SIRI YA MAFANIKIO NI KUFANYA KAZI KWA VIKUNDI
Hayo yalisemwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. David Kafulila wakati wa Ziara yake Wilayani Busega, ambapo alipata fursa ya kuzungumza na Wavuvi wa Nyashimo.Akifungua Kikao hicho Mkuu wa Wilaya ya Busega Mhe.Tano Mwera aliwafahamisha wakazi wa Nyashimo kuwa ziara hiyo ya Mkuu...
Monday, June 14, 2021
MKUU WA MKOA WA SIMIYU- MHE. DAVID KAFULILA AKUTANA NA WADAU WA NYUKI

Mhe. Kafulia amekutana na wadau wa ufugaji wa nyuki Mkoa wa Simiyu ambapo pamoja na mambo mengine alitaka kusikia changamoto zao na namna gani Mkoa unaweza kutatua changamoto hizo ili kuongeza tija ya uzalishaji wa asali Akizungumza Afisa Nyuki Mkoa, Bw.Maganga Juakali Ongala katika taarifa yake...