Friday, April 29, 2022

Mhe. Kafulila Awapongeza Walimu na Wanafunzi Waliofanya Vizuri Katika Mitihani ya Taifa 2021, Aongeza Kiasi cha Zawadi za Ufaulu

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. David Kafulila ametumia kiasi cha Tsh.59,040,000/- (Milioni hamsini na tisa na arobaini elfu tu) kama zawadi na motisha kwa walimu, wanafunzi na shule zilizofanya vizuri katika mitihani ya Taifa ya mwaka 2021.Hafla ya kukabidhi zawadi hizo imefanyika hivi karibuni katika...

Tuesday, March 15, 2022

MKANDARASI APEWA SIKU 7 KABLA MKATABA KUVUNJWA

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. David Kafulila ametoa siku saba kwa Kampuni ya Daska Company Ltd, kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa Barabara ya Byuna/Nkindwabiye/ Halawa barabara yenye  urefu wa 14.9km. Thamani ya mradi/mkataba huo ni Tsh.139.993 mln.“Tofauti na hapo mkataba uvunjwe na taratibu zifuatwe...

Thursday, March 10, 2022

Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, TUGHE-Simiyu Yatoa Msaada Kituo cha Afya Ikindilo.

Sherehe ya siku wa Wanawake duniani, huadhimishwa kila tarehe nane ya mwezi wa tatu. Katika kuadhimisha sherehe hizo, 2022, kama ilivyo ada Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE-Simiyu), waliamua kufanya matendo ya huruma Wilayani Itilima ambapo ndipo sherehe za siku ya mwanamke kimkoa zimefanyika.Akiwakaribisha...

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!