Na Stella Kalinga
Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Anthony Mtaka ametoa tamko la Mapinduzi ya Elimu na
mwelekeo wa Elimu mwaka 2017 kama kipaumbele cha kwanza kwa mkoa huo.
Mkuu huyo wa Mkoa ametoa tamko hilo katika
kikao maalum cha viongozi na wadau mbalimbali wa maendeleo wa Mkoa wa Simiyu...
Thursday, December 29, 2016
Thursday, December 29, 2016
MKUU WA MKOA WA SIMIYU ATOA TAMKO LA MKOA KUHUSU ELIMU MWAKA 2017
Tuesday, December 27, 2016
Tuesday, December 27, 2016
MKUU WA MKOA WA SIMIYU AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA SHULE KATA YA GAMBOSI
Na
Stella Kalinga
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu
Mhe.Anthony Mtaka ameongoza harambee ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Gambosi
iliyopo Kata ya Gambosi wilayani Bariadi Mkoani humo.
Harambee hiyo
imefanyika kufuatia azma ya Askofu wa Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA)
Tanzania, Ndg.Mark Malekana kutaka...
Sunday, December 25, 2016
Sunday, December 25, 2016
SERIKALI MKOANI SIMIYU YATANGAZA KILIMO CHA UMWAGILIAJI KIPAUMBELE MWAKA 2017
Na
Stella Kalinga
Serikali Mkoani Simiyu
imetangaza Kilimo cha Umwagiliaji kuwa kipaumbele cha mwaka 2017 hususani
kilimo cha Mpunga wilayani Busega.
Kauli hiyo imetolewa na
Mkuu wa Mkoa huo Mhe.Anthony Mtaka katika kikao maalum kilichofanyika jana kati ya
uongozi wa mkoa huo, uongozi wa wilaya...
Thursday, December 22, 2016
Thursday, December 22, 2016
RC SIMIYU AKUTANA NA VIONGOZI WA MKOA WA SHINYANGA KUJADILI MATUMIZI YA CHAKI ZA MASWA
Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka (kushoto) akionesha pakti ya Chaki za
Maswa kwa Wakurugenzi wa Halmashauri na
Maafisa Elimu wa Wilaya za Mkoa wa Shinyanga (hawapo pichani) walioshiriki
kikao maalum cha kujadili matumizi ya Chaki hizo katika Mkoa wa Shinyanga
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,
Mhe.Anthony...
Wednesday, December 21, 2016
Wednesday, December 21, 2016
MKAPA FOUNDATION YAKABIDHI NYUMBA 28, MAJENGO MAWILI YA UPASUAJI MKOANI SIMIYU
Na
Stella Kalinga
Taasisi ya Benjamin
Mkapa Foundation imekabidhi Serikali jumla ya Nyumba 28 kati ya 48
zinazotarajiwa kujengwa kwa ajili ya watumishi wa Idara ya Afya na Majengo
Mawili ya Upasuaji kwa ajili ya huduma za akina mama wajawazito Mkoani Simiyu.
Akipokea na kufungua
Jengo la Upasuaji...