Thursday, December 29, 2016

MKUU WA MKOA WA SIMIYU ATOA TAMKO LA MKOA KUHUSU ELIMU MWAKA 2017

Na Stella Kalinga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Anthony Mtaka ametoa tamko la Mapinduzi ya Elimu na mwelekeo wa Elimu mwaka 2017 kama kipaumbele cha kwanza kwa mkoa huo.  Mkuu huyo wa Mkoa ametoa tamko hilo katika kikao maalum cha viongozi na wadau mbalimbali wa maendeleo wa Mkoa wa Simiyu...

Tuesday, December 27, 2016

MKUU WA MKOA WA SIMIYU AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA SHULE KATA YA GAMBOSI

Na Stella Kalinga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Anthony Mtaka ameongoza harambee ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Gambosi iliyopo Kata ya Gambosi wilayani Bariadi Mkoani humo. Harambee hiyo imefanyika kufuatia azma ya Askofu wa Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) Tanzania, Ndg.Mark Malekana kutaka...

Sunday, December 25, 2016

SERIKALI MKOANI SIMIYU YATANGAZA KILIMO CHA UMWAGILIAJI KIPAUMBELE MWAKA 2017

Na Stella Kalinga Serikali Mkoani Simiyu imetangaza Kilimo cha Umwagiliaji kuwa kipaumbele cha mwaka 2017 hususani kilimo cha Mpunga wilayani Busega. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa huo Mhe.Anthony Mtaka katika kikao maalum kilichofanyika jana kati ya uongozi wa mkoa huo, uongozi wa wilaya...

Thursday, December 22, 2016

RC SIMIYU AKUTANA NA VIONGOZI WA MKOA WA SHINYANGA KUJADILI MATUMIZI YA CHAKI ZA MASWA

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka (kushoto) akionesha pakti ya Chaki za Maswa kwa  Wakurugenzi wa Halmashauri na Maafisa Elimu wa Wilaya za Mkoa wa Shinyanga (hawapo pichani) walioshiriki kikao maalum cha kujadili matumizi ya Chaki hizo katika Mkoa wa Shinyanga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony...

Wednesday, December 21, 2016

MKAPA FOUNDATION YAKABIDHI NYUMBA 28, MAJENGO MAWILI YA UPASUAJI MKOANI SIMIYU

Na Stella Kalinga Taasisi ya Benjamin Mkapa Foundation imekabidhi Serikali jumla ya Nyumba 28 kati ya 48 zinazotarajiwa kujengwa kwa ajili ya watumishi wa Idara ya Afya na Majengo Mawili ya Upasuaji kwa ajili ya huduma za akina mama wajawazito Mkoani Simiyu. Akipokea na kufungua Jengo la Upasuaji...

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!