Tuesday, February 28, 2017

SIMIYU YAZINDUA RASMI MRADI WA KUPIMA NA KUTIBU WAATHIRIKA WA VVU

Na Stella Kalinga Mkoa wa Simiyu leo umezindua mradi wa Kupima na Kutibu (Test and Treat) Wale watakaobainika kuwa na Virusi vya Ukimwi bila kujali wingi wa CD4. Mradi huo ambao unaendeshwa na Shirika lisilo la Kiserikali la CUAMM umezinduliwa leo na Mkuu wa Wilaya ya Bariadi ambaye amemwakilisha Mkuu...

Thursday, February 23, 2017

RAIS SHEIN ATIMIZA AHADI YA KUTOA VIFAA KUKAMILISHA UJENZI WA MSIKITI MKUU BARIADI

Na Stella Kalinga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Ali Mohamed Shein ametimiza ahadi ya kutoa sadaka ya vifaa vya ujenzi wa Msikiti wa MASJID RAUDHAL  mjini Bariadi, ambao ni Msikiti mkuu Simiyu. Rais Shein alitoa ahadi hiyo mwezi Oktoba 2016 wakati alipokuwa...

RC MTAKA ASEMA WAKUU WA SHULE HAWATASIMAMISHWA KUTOKANA NA MATOKEO MABAYA PEKEE.

Na Stella Kalinga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Anthony Mtaka amesema Serikali mkoani humo haitawasimamisha kazi walimu wakuu na wakuu wa shule kutokana na matokeo mabaya ya shule zao, isipokuwa kwa uthibitisho wa taarifa za wadhibiti ubora wa elimu kuwa hawafai kushika nyadhifa hizo. Mtaka ameyasema...

Wednesday, February 22, 2017

WANARIADHA WA KIMATAIFA  KUSHIRIKI MASHINDANO YA KILI -MARATHON Na Stella Kalinga Wanariadha wawili wa Kimataifa kutoka katika jimbo la Hanover  Nchini Ujerumani wanatarajia kushiriki  mashindano ya riadha ya Kilimanjaro Marathon yatakayofanyika  Februari 26 mwaka huu, Mkoani...

Monday, February 13, 2017

#JUKWAA LA BIASHARA SIMIYU# RC MTAKA AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI WAZAWA KUWEKEZA SIMIYU

Na Stella Kalinga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,Mhe.Anthony Mtaka ametoa wito kwa Wafanyabiashara wazawa kuwekeza katika mkoa huo na kuwahakikishia kuwa Serikali iko tayari kuwaunga mkono. Mtaka amesema hayo katika ufunguzi wa Jukwaa la biashara lililofanyika leo mjini Bariadi, ambalo limeandaliwa na...

Saturday, February 11, 2017

VIONGOZI WA TAASISI ZA UMMA SIMIYU WAHIMIZWA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA MAKAMU WA RAISPI

Na Stella Kalinga Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu,Ndg.Jumanne Sagini ametoa wito kwa viongozi na Wakuu wa Taasisi za Umma mkoani humo,  kusimamia utekelezaji wa agizo la Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan la kufanya mazoezi ya viungo Jumamosi ya pili ya...

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!