Sunday, March 26, 2017

SULUHU YA MGOGORO WA MWEKEZAJI MWIBA HOLDINGS NA WANANCHI MEATU YAPATIKANA

Hatimaye suluhu ya mgogoro baina ya mwekezaji wa kampuni ya  MWIBA Holdings na wananchi wa vijiji saba vinavyounda Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori (WMA) ya Makao wilayani Meatu,  juu ya utata wa mkataba wa kumiliki ardhi, uanzishwaji wa ranchi ,mahusiano mabovu  na kusogezwa ...

Friday, March 24, 2017

RAS Sagini: Viongozi, Watumishi Shirikianeni na Wadau Kuboresha Huduma Za Afya

Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Ndg. Jumanne Sagini  ametoa wito  kwa viongozi na watumishi mkoani humo kushirikiana na wadau mbalimbali wenye nia njema ya kuunga mkono juhudi za Serikali katika uboreshaji wa huduma za afya kwa wananchi. Sagini ameyasema hayo leo katika ufunguzi wa kikao...

Wednesday, March 15, 2017

Viongozi na Watendaji Watakiwa kutowabugudhi Wafanyabiashara

Na Stella Kalinga Serikali imewataka viongozi wa kisiasa pamoja na watendaji wa Serikali kutotumia vibaya madaraka yao kwa kuwanyanyasa na kuwasumbua wafanyabishara hasa wazawa waliowekeza ndani ya nchi. Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof....

Monday, March 13, 2017

TAARIFA KWA UMMA

                                 TAARIFA KWA UMMA Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka anawaalika wananchi na wadau wote wa maendeleo katika Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji mkoani Simiyu utakaofanyika tarehe 15 Machi 2017, katika Ukumbi wa Kanisa Katoliki Mjini Bariadi kuanzia saa 3:00 asubuhi. Mgeni rasmi...

Friday, March 3, 2017

DC BARIADI:ASKARI WANAOJIHUSISHA NA UJANGILI WACHUKULIWE HATUA

Na Stella Kalinga Serikali Mkoani Simiyu imetoa wito kwa Taasisi zinazoshughulika na Ulinzi na Hifadhi ya Wanyamapori kuwachukulia hatua askari Wanyamapori wanaojihusisha kwa namna moja ama nyingine  na vitendo vya Ujangili. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Festo Kiswaga...

Wednesday, March 1, 2017

WANANCHI WAOMBWA KUTOA USHIRIKIANO KWA WATAFITI VIASHIRIA NA MATOKEO YA UKIMWI

Na Stella Kalinga Serikali Mkoani Simiyu  imetoa wito kwa wananchi na wadau mbalimbali Mkoani humo kutoa ushirikiano kwa  wataalam wa Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi(Tanzania HIV Impact Survey-THIS)  ili takwimu zitakazopatikana  ziendane na hali halisi ya mkoa. Wito huo...

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!