Mkoa wa Simiyu na Mamlaka ya Maendeleo
ya Biashara Tanzania(TanTrade) wamesema watashirikiana kwa pamoja kuandaa Maonesho
ya Kilimo NaneNane mwaka 2018 ambayo Kitaifa yatafanyika Mkoa wa Simiyu.
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa
Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka...
Thursday, March 29, 2018
Thursday, March 29, 2018
SIMIYU, TANTRADE KUSHIRIKIANA KUANDAA MAONESHO YA WAKULIMA NANENANE KITAIFA MWAKA 2018
Tuesday, March 20, 2018
Tuesday, March 20, 2018
WAZIRI KABUDI AWATAKA WASAJILI WA VYETI VYA KUZALIWA MIKOA YA SIMIYU, MARA KUZINGATIA UMAKINI NA UZALENDO
Waziri wa Katiba
na Sheria Mhe.Prof. Palamagamba Kabudi amewataka wasajili wa vyeti vya kuzaliwa
kupitia mpango wa usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri wa
chini ya miaka mitano kwenye mikoa ya
Simiyu na Mara, kufanya kazi hiyo kwa umakini na uzalendo mkubwa katika kuhakikisha
wanawasajili...
Thursday, March 8, 2018
Thursday, March 08, 2018
WANAWAKE WATAKIWA KUWALINDA WATOTO WA KIKE DHIDI YA MIMBA ZA UTOTONI
Mkuu wa Wilaya ya
Bariadi, Mhe.Festo Kiswaga ametoa wito kwa wanawake wote Mkoani Simiyu kuwa mstari wa mbele
katika kuwalinda watoto wa kike na kuhakikisha hawakatishwi masomo kwa sababu
ya kupewa mimba wakiwa (katika umri mdogo) shuleni na badala yake wamalize
masomo ili watimize ndoto zao....
Wednesday, March 7, 2018
Wednesday, March 07, 2018
MAAFISA MICHEZO WATAKIWA KUWASAIDIA VIJANA KUFIKIRI MICHEZO KATIKA MTAZAMO WA AJIRA NA BIASHARA
Mkuu wa
Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka amewataka Maafisa Michezo na Walimu wa
Michezo mkoani humo kuwasaidia Vijana wa Kitanzania kutoka kwenye nadharia ya
kufikiri kuwa michezo ni afya, urafiki na burudani tu ili waanze kufikiri michezo katika
mtazamo wa biashara na ajira.
Mtaka
ameyasema...
Friday, March 2, 2018
Friday, March 02, 2018
HATUJAWAKATAA WADAU WA AFYA TUNATAMBUA MCHANGO WAO, TUNAOMBA WAZINGATIE VIPAUMBELE VYA KITAIFA-RC MTAKA

Mkuu wa Mkoa wa
Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka amesema Serikali Mkoani humo haijawakataa wadau wa
Afya kutoka katika Mashirika mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa wanaofanya kazi
mbalimbali katika kuunga mkono juhudi za Serikali kwenye Sekta
ya Afya , bali inatambua mchango wao na inawaomba...
Thursday, March 1, 2018
Thursday, March 01, 2018
RC MTAKA AWATAKA WANANCHI, VIONGOZI SIMIYU KUTOA USHIRIKIANO UTAFITI WA MAPATO NA MATUMIZI YA KAYA

Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Anthony Mtaka ametoa wito kwa wananchi na Viongozi Mkoani
humo kutoa ushirikiano kwa wadadisi na wataalam wa Takwimu katika utafiti wa
mapato na matumizi ya kaya binafsi unaoendelea hapa nchini ili kuwezesha
upatikanaji wa takwimu halisi na sahihi
Mkoani humo.
Mtaka...