Sunday, July 30, 2017

SIMIYU YAJIPANGA KUTENGENEZA AJIRA KUPITIA SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO

Mkoa wa Simiyu umejipanga kurasimisha kazi za sanaa, utamaduni na baadhi ya michezo ili kutengeneza ajira kwa wananchi  ambazo zitasaidia kukuza uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini...

Friday, July 28, 2017

SIMIYU YAJIPANGA KIMKAKATI KUWASAIDIA WAFUGAJI KUFUGA KISASA

Serikali Mkoani Simiyu imejipanga  kuweka mkakati maalum utakaowasaidia wafugaji mkoani humo kutoka kwenye ufugaji wa kuhama hama na kufanya ufugaji wa kisasa wenye tija. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka katika kikao maalum cha viongozi wa Serikali, viongozi...

Wednesday, July 26, 2017

IGP SIRRO: MAKAMANDA WA POLISI MIKOA WATABAKI KWENYE VITUO VYAO UHALIFU UKIPUNGUA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Inspekta Generali Simon Sirro amesema Makamanda wa Polisi wa Mikoa wataendelea kubaki katika vituo vyao vya kazi endapo watatimiza wajibu wao na kupunguza uhalifu katika mikoa yao. IGP Sirro ameyasema hayo wakati wa ziara yake Mkoani Simiyu katika mahojiano na waandishi...

Monday, July 24, 2017

RC MTAKA: SIMIYU INAHITAJI USHIRIKA IMARA, WA KISASA KUELEKEA UCHUMI WA KATI

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka  amesema Mkoa huo unahitaji ushirika imara na wa kisasa unaolenga kuwafikisha wananchi katika Uchumi wa kati. Mtaka amesema  hayo wakati wa uzinduzi wa Jukwaa la Ushirika la Mkoa wa Simiyu uliofanyika katika Ukumbi wa kanisa Katoliki Mjini Bariadi,...

Sunday, July 16, 2017

BENKI YA KILIMO KUFANYA KAZI NA MKOA WA SIMIYU

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania(TADB) imeuhakikishia uongozi wa Mkoa wa Simiyu kuwa itafanya kazi kwa karibu katika kutoa fursa ya  mikopo itakayowasaidia wakulima mkoani humo kulima kilimo chenye tija.. Akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka  pamoja na Wakurugenzi na...

Friday, July 14, 2017

VIJIJI 347 KUPATA UMEME WA REA AWAMU YA TATU MKOANI SIMIYU

Jumla ya Vijiji 347 Mkoani Simiyu vinatarajia kupata Umeme kupitia Mradi wa Umeme Vijijini (REA) awamu ya Tatu ambao utatekelezwa katika kipindi cha miezi 24 kuanzia mwezi Julai 2017. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhe.Dkt.Medard Kalemani wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa Umeme...

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!