Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Taifa
Kheri James amewaasa viongozi wa dini ,chama na Serikali
kutotofautiana lugha kuhusu haki za wananchi katika kukomesha dhuluma na pia
wawakemee wanaokwamisha juhudi za Serikali katika kuwaletea maendeleo wananchi.
James amesema hayo katika futari
iliyoandaliwa...
Saturday, June 9, 2018
Saturday, June 09, 2018
VIONGOZI MKOANI SIMIYU WAASWA KUZUNGUMZA LUGHA MOJA KUHUSU HAKI ZA WANANCHI
Friday, June 8, 2018
Friday, June 08, 2018
KONGWA WAFANYA ZIARA MKOANI SIMIYU KUTEMBELEA MIRADI YA VIJANA ILI KUJIFUNZA
Viongozi kutoka Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma wakiongozwa na Mkuu wa
Wilaya hiyo, Mhe. Deo Ndejembi pamoja na baadhi ya viongozi wa vikundi vya
vijana wilayani humo wamefanya ziara Mkoani Simiyu ili kujifunza namna vikundi
vya vijana vinavyotekeleza miradi yake.
Timu hiyo imefanya ziara ya siku...
Thursday, June 7, 2018
Thursday, June 07, 2018
MKUU WA MAJESHI AHAMASISHA VIJANA KUJIUNGA JKT KUPATA STADI ZA KAZI ZIWASAIDIE KUJIAJIRI
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo amewahamasisha vijana
kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa ili waweze kupata stadi za ufundi na
hatimaye wajiajiri badala ya kutegemea kuajiriwa na Serikali.
Jenerali Mabeyo ametoa ushauri
huo wakati alipokutana na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na...
Monday, June 4, 2018
Monday, June 04, 2018
WAGANGA WAFAWIDHI WATAKAOSHINDWA KUSIMAMIA VITUO VYAO KUVULIWA MADARAKA
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu Jumanne Sagini
amewaagiza Waganga Wakuu wa Wilaya kuwaondoa katika nafasi za usimamizi wa
zahanati na vituo vya afya ,waganga wafawidhi watakaoshindwa kusimamia vituo vyao
kufika vigezo vilivyowekwa katika utoaji huduma za afya kwa wananchi kupitia
mpango wa malipo kwa...
Monday, June 04, 2018
SIMIYU YAKABIDHIWA ZAHANATI NA SHIRIKA LA LIFE MINISTRY

Shirika la Kikristo la Life Ministry limekabidhi
Zahanati kwa Uongozi wa Mkoa wa Simiyu ambayo imejengwa katika Kijiji cha
Itubukilo wilayani Bariadi.
Akisoma taarifa ya makabidhiano ya
zahanati hiyo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka, Mkurugenzi
wa Life Ministry Tanzania, Bw....