Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bibi. Miriam
Mmbaga ametoa rai kwa viongozi na watumishi katika wilaya ya Meatu kuimarisha
usimamizi wa ukusanyaji wa mapato ya ndani na matumizi ya fedha za miradi
mbalimbali na kuhakikisha sheria, kanuni na taratibu za fedha zinazingatiwa ili
fedha hizo zitumike kwa...
Thursday, September 24, 2020
Thursday, September 24, 2020
USIMAMIZI WA FEDHA UIMARISHWE ILI ZIFANYE KAZI ILIYOKUSUDIWA: RAS SIMIYU
Thursday, September 24, 2020
ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 2.3 ZATOLEWA KWA WALENGWA WA TASAF 28984 SIMIYU
Serikali imetoa jumla ya shilingi 2,327,259,225 kwa
walengwa wa TASAF III awamu ya pili wapatao
28984 kupitia mpango wa kunusuru kaya
maskini katika kipindi cha mwezi Julai hadi Oktoba mwaka 2020 katika vijiji 376
mkoani Simiyu.
Hayo yamebainishwa na Mratibu wa TASAF mkoa wa
Simiyu,...
Sunday, September 13, 2020
Sunday, September 13, 2020
WADAU WA KILIMO SIMIYU WAJADILI MWONGOZO WA KILIMO CHA MKONGE
Bodi ya Mkonge Tanzania
imekutana na uongozi wa mkoa wa Simiyu na baadhi ya watendaji na wataalam wa
kilimo kwa lengo la kujadili mwongozo wa kilimo cha mkonge mkoani hapa lengo
likiwa ni kuhakikisha mkulima anazalisha mkonge bora na wenye thamani katika
soko.
Akikabidhi muongozo huo kwa katibu...
Sunday, September 13, 2020
RUWASA SIMIYU YAAHIDI KUONGEZA HALI YA UPATIKANAJI WA MAJI
Upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama Mkoani Simiyu
unatarajiwa kuongezeka kutoka asilimia 51 ya mwaka 2019 hadi 57.4 ifikapo
0ktoba 2020 kupitia mradi wa lipa kulingana na matokeo (P4R ) hali
itakayosaidia wananchi kuepukana na adha ya upatikanaji wa huduma hiyo kwa
uhakika na urahisi.
Hayo...
Friday, September 11, 2020
Friday, September 11, 2020
KITUO CHA AFYA LUKUNGU CHATAKIWA KUIMARISHA MFUMO WA UKUSANYAJI, USIMAMIZI WA MAPATO
Kaimu
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Khamis Kulemba ameutaka uongozi wa Kituo cha
Afya Lukungu wilayani Busega kuimarisha ukusanyaji na usimamizi wa mapato (kudhibiti
upotevu wa mapato) ili kuongeza mapato yatakayosaidia kununua dawa na kuboresha
miundombinu kwa lengo la kuongeza ufanisi katika...