Tuesday, January 31, 2017

WAZIRI WA BIASHARA ATOA WITO KWA SERIKALI KUWEKEZA KATIKA HISTORIA YA NCHI

Na Stella Kalinga Waziri wa Viwanda,Biashara na Masoko wa Zanzibar,Mhe Amina Salum Ali ametoa wito kwa Serikali kuwekeza katika historia ya nchi na kurahisisha utaratibu wa kutembelea makumbusho ili wananchi wapate taarifa za kina na kujua historia ya nchi.  Mhe.Waziri ameyasema hayo leo walayani...

Monday, January 30, 2017

WAKULIMA NCHINI WASHAURIWA KULIMA KILIMO HAI KUONGEZA THAMANI YA MAZAO

Na Stella Kalinga Wakulima  nchini wametakiwa kufanya maamuzi magumu yatakayoleta mapinduzi ya kiuchumi  kwa kulima kilimo HAI (kilimo kisichotumia kemikali za viwandani)  kinachozingatia kanuni bora kwa kuwa kimeonyesha tija katika kuongeza thamani ya mazao. Wito huo...

Sunday, January 29, 2017

WAZIRI WA VIWANDA ,BIASHARA NA MASOKO WA ZANZIBAR AANZA ZIARA YA SIKU TATU MKOANI SIMIYU

Na Stella Kalinga Waziri wa Viwanda,Biashara na Masoko wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe.Balozi Amina Salum Ali ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani Simiyu. Mhe.Waziri akiwa mkoani Simiyu atatembelea maeneo mbalimbali yanayogusa wizara yake ikiwa ni pamoja kutembelea viwanda vidogo...

Friday, January 20, 2017

JINGU ASEMA SIMIYU IMEONYESHA MFANO

Na Stella Kalinga Mwenyekiti wa Baraza la Uwezeshaji wananchi Kiuchumi  ,Ndg. John Jingu amesema Mkoa wa Simiyu umeonesha mfano wa namna viongozi wanavyoweza kutumia nafasi zao katika kuwaletea wananchi maendeleo. Jingu ameyasema hayo leo katika kikao maalum kilichofanyika kati ya Uongozi...

KAMATI YA ULINZI NA USALAMA MKOA WA SIMIYU YATEMBELEA SUMA JKT DAR ES SALAAM

Na Stella Kalinga Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Simiyu ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo,Mhe.Anthony Mtaka  imetembelea SUMA JKT jijini  Dar es Salaam kuona pampu za umwagiliaji. Lengo la ziara hiyo ni kujionea aina mbalimbali za pampu za umwagililiaji kwa kuwa Mkoa huo una mpango...

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!