Thursday, December 27, 2018

JENERALI MABEYO ATOA WITO KWA VIONGOZI WA DINI KUHUBIRI AMANI

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi hapa nchini Jenerali Venance Mabeyo ametoa wito kwa Viongozi wa Dini nchini kuendelea kuhubiri amani ili kujenga jamii iliyo bora yenye kudumisha upendo na mshikamano. Jenerali Mabeyo ametoa wito huo wakati wa ibada ya kubariki na kutabaruku Kanisa la Mtakatifu Petro, Kigango...

Sunday, December 23, 2018

WADAU WA ELIMU WACHANGIA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 250 UJENZI WA MADARASA BUSEGA

Wadau mbalimbali wa elimu wamechangia ujenzi wa vyumba vya madarasa katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega mkoani Simiyu katika Harambee iliyofanyika Mjini Nyashimo, ambapo zimepatikana jumla ya shilingi 254, 969,000/= fedha taslimu zikiwa ni shilingi 15,360,000/= ahadi shilingi 241,809,000/= na mifuko...

Saturday, December 15, 2018

SIMIYU YAIDHINISHIWA BILIONI 13 MATENGENEZO YA BARABARA, MIRADI YA MAENDELEO

Mkoa wa Simiyu umeidhinishiwa jumla ya shilingi bilioni 13.1 kwa ajili ya matengenezo ya barabara na  miradi ya maendeleo katika bajeti ya mwaka 2018/2019. Hayo yamebainishwa na Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS)'Mkoa wa Simiyu, Mhandisi. Albert Kent wakati akiwasilisha taarifa katika...

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!