Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony
Mtaka ametoa wito kwa walimu kuendelea kuwa walezi wa wanafunzi wao na kuepuka
vitendo vyovyote vinavyoharibu haiba na heshima ya ualimu, ili waweze
kukabiliana na changamoto ya mmomonyoko wa maadili kwao na kwa wanafunzi wanaowafundisha.
Mtaka ameyasema hayo...
Thursday, November 29, 2018
Thursday, November 29, 2018
RC MTAKA ATOA WITO KWA WALIMU KUEPUKA VITENDO VINAVYOHARIBU HAIBA NA HESHIMA YA UALIMU
Monday, November 26, 2018
Monday, November 26, 2018
RC MTAKA ATOA WITO KWA KKKT KUENDELEA KUWEKEZA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO, HUDUMA ZA JAMII SIMIYU
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony
Mtaka ameliomba Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT) kuendelea
kuwekeza katika miradi ya maendeleo na huduma mbalimbali za jamii mkoani hapa.
Mtaka ameyasema hayo Novemba 25, wakati
alipozungumza na waumini wa Kanisa hilo katika Usharika wa Tumain...
Friday, November 23, 2018
Friday, November 23, 2018
WAFANYABIASHARA WA UTURUKI WAONESHA NIA YA KUWEKEZA KATIKA KIWANDA CHA NGUO SIMIYU
Wafanyabiashara
kutoka nchini Uturuki wameonesha nia na dhamira ya kuwekeza katika ujenzi wa
kiwanda cha kutengeneza nguo mkoani Simiyu ambacho kitakuwa na uwezo wa kuajiri
watu zaidi ya 4000.
Hayo
yamebainishwa katika kikao kati ya Balozi wa Tanzania nchini Uturuki Mhe. Prof.
Elizabeth Kiondo...