Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi hapa nchini
Jenerali Venance Mabeyo ametoa wito kwa Viongozi wa Dini nchini kuendelea
kuhubiri amani ili kujenga jamii iliyo bora yenye kudumisha upendo na
mshikamano.
Jenerali Mabeyo ametoa wito huo wakati
wa ibada ya kubariki na kutabaruku Kanisa la Mtakatifu Petro, Kigango...
Thursday, December 27, 2018
Thursday, December 27, 2018
JENERALI MABEYO ATOA WITO KWA VIONGOZI WA DINI KUHUBIRI AMANI
Sunday, December 23, 2018
Sunday, December 23, 2018
WADAU WA ELIMU WACHANGIA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 250 UJENZI WA MADARASA BUSEGA
Wadau mbalimbali
wa elimu wamechangia ujenzi wa vyumba vya madarasa katika Halmashauri ya Wilaya
ya Busega mkoani Simiyu katika Harambee iliyofanyika Mjini Nyashimo, ambapo
zimepatikana jumla ya shilingi 254, 969,000/= fedha taslimu zikiwa ni shilingi 15,360,000/=
ahadi shilingi 241,809,000/= na mifuko...
Saturday, December 15, 2018
Saturday, December 15, 2018
SIMIYU YAIDHINISHIWA BILIONI 13 MATENGENEZO YA BARABARA, MIRADI YA MAENDELEO
Mkoa wa Simiyu umeidhinishiwa jumla ya
shilingi bilioni 13.1 kwa ajili ya matengenezo ya barabara na miradi ya maendeleo katika bajeti ya mwaka
2018/2019.
Hayo yamebainishwa na Meneja wa Wakala
wa Barabara (TANROADS)'Mkoa wa Simiyu, Mhandisi. Albert Kent wakati
akiwasilisha taarifa katika...