Wanafunzi wa Kidato cha nne mkoani Simiyu
wanatarajia kuanza kambi za kitaaluma tarehe 30 Oktoba 2020, kwa ajili ya
kujiandaa na mtihani wa Taifa unaotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 23 Novemba 2020
hadi tarehe 11 Desemba, 2020.
Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,
Mhe....
Thursday, October 22, 2020
Thursday, October 22, 2020
KIDATO CHA NNE SIMIYU KUANZA KAMBI ZA KITAALUMA OKTOBA 30
Wednesday, October 21, 2020
Wednesday, October 21, 2020
SERIKALI YATOA BILIONI 1.2 KULIPA WAKULIMA WA PAMBA SIMIYU
Serikali
imetoa jumla ya shilingi bilioni 1.2 kwa ajili ya kukamilisha malipo ya madeni
ya wakulima wa pamba kwa msimu wa mwaka 2019 mkoani Simiyu, ambapo kufikia tarehe
21 Oktoba 2020 wakulima wote waliokuwa wanadai fedha watakuwa wameshalipwa
fedha zao.
Taarifa
hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa...
Saturday, October 10, 2020
Saturday, October 10, 2020
WAZAZI, WALEZI WAPUNGUZIENI KAZI WANAFUNZI WA MADARASA YA MITIHANI: RC MTAKA
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka ametoa
wito kwa wazazi na walezi kuwapunguzia kazi wanafunzi wenye madarasa ya mitihani ya Taifa
ya darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne ambayo inatarajiwa
kufanyika mwezi Novemba ili waweze kujipatia muda mwingi wa kujisomea...
Monday, October 5, 2020
Monday, October 05, 2020
DARASA LA SABA SIMIYU WAAHIDI KUONGOZA MTIHANI WA TAIFA MWAKA 2020
Zikiwa zimebaki siku mbili kufanya mtihani wa Taifa
wa Darasa la Saba, wanafunzi wa darasa la saba mkoani Simiyu wamesema
wamedhamiria kushika nafasi ya kwanza Kitaifa katika mtihani huo kutokana na mikakati ya
taaluma iliyopo na maandalizi yaliyofanyika, huku wakiahidi kutoa wanafunzi
kumi bora...