Friday, December 31, 2021

Tuesday, December 28, 2021

RC KAFULILA ALIA NA KAMPUNI YA UJENZI YA CHICCO .

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.David Kafulila akizungumza wakati wa kikao cha Bodi ya Barabara kilichofanyika leo Katika Ukumbi wa Bariadi Conference Centre, mjini Bariadi- Simiyu. Kulia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Simiyu Bi. Shamsa Mohamed.Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. David Kafulila, akieleza...

Thursday, December 23, 2021

WAKANDARASI TEKELEZENI MIRADI YA MAJI KWA UADILIFU NA KWA WAKATI-RC KAFULILA

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu amewataka Wakandarasi na Local fundi wa miradi ya maji mkoa wa Simiyu  kutekeleza miradi ya maji kwa uadilifu na wakati. Mhe. Kafulila ameyasema hayo wakati wa hafla ya kusaini mikataba 24 kati ya RUWASA na wakandarasi na RUWASA na Local Fundi.Akizungumza katika hafla hiyo...

Wednesday, December 22, 2021

MIKOA YOTE IGENI SIMIYU MIKATABA YA UWAJIBIKAJI

Naibu Waziri- TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange, leo amepongeza  Mkoa wa Simiyu kwa ubunifu wa kuanzisha mikataba ya uwajibikaji ambapo Mkuu wa Mkoa David Kafulila amesaini na wakuu wote wa wilaya na kisha Katibu Tawala Mkoa kusaini na wakurugenzi wote wa Halmashauri ambao nao wamesaini na wasimamizi...

Mikoa yote igeni Simiyu Uwajibikaji- Naibu Waziri TAMISEMI( Afya)

 Wito huo umetolewa leo na Mhe.Dkt.Festo Dungage- Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilkali za Mitaa (TAMISEMI-AFYA), mara baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa mpango wa maendeleo kwa ustawi wa taifa na mapambano dhidi ya uviko 19 Mkoa wa Simiyu.Mhe.Dugange,amepongeza Sekretarieti...

Tuesday, December 14, 2021

RC Kafulila Aagiza Wazawa Malampaka Wapewe Kipaumbele

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. David Kafulila akizungumza na Wananchi wa Malampaka- MaswaMkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. David Kafulila ameagiza wazawa wa Malampaka wapewe kipaumbele kwenye ajira ya Ujenzi wa reli ya kisasa(SGR), Mwanza/ Isaka.Maagizo hayo yametolewa, mara baada ya mamia ya wananchi wa  mji...

Thursday, December 9, 2021

Kuna Watu Wengi wa Maana Kaburini Kuliko Tuliobaki

“Kipo wapi kizazi kile ambacho kijana alihitaji kuwa na jembe, panga na shoka kuvamia msitu kuanza kuzalisha? Leo wazee wanataka kuwezeshwa kwasababu ni wazee, kina mama wanataka kuwezeshwa kwasababu ni wanawake, sasa na vijana nguvu kazi inazungumza kuwezeshwa vilevile kama wazee na kina mama. Ukiangalia...

Thursday, December 2, 2021

Simiyu Yafanya Vizuri Viashiria vya UKIMWI, Kitaifa na Kimataifa-RC KAFULILA

 Mhe. Kafulila ameyasema hayo wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani  yaliyofanyika kimkooa katika Viwanja Vya Halmashauri Bariadi, Mkoani Simiyu.  Akizungumza Mhe Kafulila alieleza kuwa Siku ya Ukimwi Duniani ni siku muhimu sana kwani ni siku ambayo tathmini ya jinsi...

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!