Thursday, January 27, 2022

“Eleweni Changamoto za Wananchi katika Maeneo yenu, na Muwe Watatuzi”- RC KAFULILA

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. David Kafulila ameyasema hayo wakati wa kikao kazi cha Watendaji wa Kata, Vijiji na Mitaa  wa Halmashauri ya Bariadi Mji na Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi kilichofanyika hivi karibuni.Mhe.Kafulila ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa kikao kazi hicho alisisitiza umuhimu...

Tuesday, January 25, 2022

WAKURUGENZI, WAKUU WA WILAYA ELIMISHENI WANANCHI KUHUSU FURSA MBALIMBALI ZA MIKOPO - RC KAFULILA.

Picha ya Pamoja kuanzia kushoto Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bariadi Mji, Meneja wa NMB Bariadi,Mkuu wa wilaya ya Bariadi na Mkurugenzi wa Halmshauri ya Bariadi Mji wakiwa wameshika hundi ya mfano kutoka benki ya NMBMwenyekiti wa Halmashauri ya Bariadi Mji Bw. David Masanja ( Kushoto) akimkabidhi hundi...

Friday, January 14, 2022

RC- Kafulila Atembelea na Kutoa pole Kwa Familia za Wafiwa Wilayani Busega

 Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.David Kafulila akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Busega Mhe.Gabriel Zakaria,Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu ACP Bracius Chatanda na OCD wa Busega,leo wamewatembelea na kuwapa pole familia ambazo zilipoteza ndugu zao,kwenye ajali iliyotokea 11/1/2022 katika Kijiji...

Mkoa wa Simiyu Wafanya Kongamano la Maombi, Kuuombea Mkoa!

Kongamano la kuuombea Mkoa wa Simiyu limefanyika hivi karibuni kuuombea Mkoa, ili uweze kuepukana na Majanga mbalimbali kama vile Ukame, Magojwa, Misiba na ajali.Kongamano hilo la maombi limefanyika katika Viwanja vya Halmashauri ya Mji Bariadi.  Akizungumza Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. David...

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!