Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. David Kafulila akizungumza wakati wa kipindi cha ARIDHIO kinachorushwa na TBC. Mhe. Kafulila ameshiriki mjadala wa masuala ya kiuchumi na kuzungumzia dhana ya Mikopo kwa Maendeleo ya nchi.
Wednesday, January 5, 2022
Wednesday, January 05, 2022
0 comments:
Post a Comment