Sunday, February 18, 2018

MAKAMU WA RAIS KUANZA ZIARA YA SIKU NNE KESHO MKOANI SIMIYU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya siku nne (04) kuanzia kesho tarehe 19/02/2018. Mambo atakayofanya yameanishwa katika Taarifa kwa Vyombo vya  Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

0 comments:

Post a Comment

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!