Mkuu
wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga amezipongeza Wakala wa Barabara nchini
(TANROADS) na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Simiyu kwa
kazi nzuri zinazofanya na kuzisisitiza kutenga bajeti ya kuboresha ujenzi wa
Barabara zote zinazounganisha Mkoa wa Simiyu na mikoa...
Tuesday, December 31, 2019
Tuesday, December 31, 2019
TANROADS, TARURA SIMIYU WATAKIWA KUTENGA FEDHA KUBORESHA BARABARA ZINAZOUNGANISHA SIMIYU NA MIKOA MINGINE
Monday, December 23, 2019
Monday, December 23, 2019
JAMII YATAKIWA KUACHA IMANI POTOFU MATUMIZI YA VIRUTUBISHI KWA WATOTO WA KIKE
Wito umetolewa kwa jamii kuondokana na mila potofu ya kuwazuia watoto wa kike wenye umri wa kuanzia miaka 10 mpaka 19 kutumia virutubishi vya madini chuma na foliki asidi vinavyotolewa kwa rika hilo kwa ajili ya kuwakinga na upungufu wa damu kwa madai kuwa virutubisho hivyo vibaharibu...
Wednesday, December 11, 2019
Wednesday, December 11, 2019
RC MTAKA AIPONGEZA AGPAHI KWA KUTEKELEZA MIRADI YENYE TIJA KWENYE SEKTA YA AFYA
Mkuu wa
mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka Shirika lisilo la Kiserikali linaloshughulikia
masuala ya UKIMWI la Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI)
kwa kutekeleza miradi yenye tija katika
sekta ya Afya ambayo inayoonekana na inayowagusa wananchi moja kwa moja.
Mhe. Mtaka...