Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Watu
wenye ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA), Bw. Jonas Lubago ameishukuru na kuipongeza
Serikali ya awamu ya tano kwa kujali sana kundi la watu wenye ulemavu, ambapo
kundi hili limepata uwakilishi kwenye idara mbalimbali na vikao vyote nchini.
Lubago ameyasema hayo Desemba 02, 2019 katika
la Watu wenye ulemavu liliofanyika Mjini Bariadi ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho
ya Siku ya Watu wenye Ulemavu Duniani Desemba 03, 2019 ambayo yanafanyika
Kitaifa Mkoani Simiyu.
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga akifungua Kongamano la watu wenye ulemavu kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka, lililofanyika Desemba 2, 2019 Mjini Bariadi.
Baadhi ya watu wenye ulemavu wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga(hayupo pichani) akifungua Kongamano la watu wenye ulemavu kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka, lililofanyika Desemba 2, 2019 Mjini Bariadi.
Baadhi ya watu wenye ulemavu wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga(hayupo pichani) akifungua Kongamano la watu wenye ulemavu kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka, lililofanyika Desemba 2, 2019 Mjini Bariadi.
Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu (SHIVYAWATA), Bibi. Tungi Mwanjala akizungumza na watu wenye ulemavu lililofanyika Desemba 2, 2019 Mjini Bariadi.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu (SHIVYAWATA) Bi. Nuru Awadh akichangia hoja katika Kongamano la Watu wenye Ulemavu lililofanyika Desemba 2, 2019 Mjini Bariadi.
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga (katikati) na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu (SHIVYAWATA) wakifurahia jambo katika Kongamano la Watu wenye Ulemavu lililofanyika Desemba 2, 2019 Mjini Bariadi.
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga (katikati mbele) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu (SHIVYAWATA) mara baada ya kufungua Kongamano la Watu wenye Ulemavu lililofanyika Desemba 2, 2019 Mjini Bariadi.
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga (wa pili kushoto ) na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu (SHIVYAWATA) wakifurahia jambo katika Kongamano la Watu wenye Ulemavu lililofanyika Desemba 2, 2019 Mjini Bariadi.
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi,
Mhe. Festo Kiswaga (katikati mbele) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
wajumbe wanawake wa Shirikisho la Vyama
vya Watu Wenye Ulemavu (SHIVYAWATA) mara
baada ya kufungua Kongamano la Watu wenye Ulemavu lililofanyika Desemba 2, 2019
Mjini Bariadi.
Mmoja wa watu wenye
ulemavu akichangia hoja katika Kongamano
la Watu wenye Ulemavu lililofanyika Desemba 2, 2019 Mjini Bariadi.
Mkuu wa Wilaya ya
Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga (katikati walioketi meza kuu mbele) akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wanawake wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu
(SHIVYAWATA) mara baada ya kufungua
Kongamano la Watu wenye Ulemavu lililofanyika Desemba 2, 2019 Mjini Bariadi.
0 comments:
Post a Comment