Waziri wa Afya
Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameagiza Wakala wa
Majengo nchini TBA kurejesha fedha ilizokabidhiwa na wizara yake kwenye ofisi
za TBA mjini Bariadi ili zitumike kukamilisha mradi wa ujenzi wa hospitali ya
rufaa ya mkoa wa Simiyu ambao kasi ya ujenzi wake kwa...
Wednesday, January 23, 2019
Wednesday, January 23, 2019
Waziri wa Afya Aitaka TBA Kurejesha Fedha za Ujenzi wa Mradi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.
Monday, January 21, 2019
Monday, January 21, 2019
Viongozi wa Riadha Kanda ya Ziwa Washauriwa Kuziandaa Timu zao Mapema
Mkuu wa Mkoa wa
Simiyu ambaye pia ni rais wa chama cha riadha nchini Anthony Mtaka amewaagiza
viongozi wa riadha kanda ya ziwa kuweka mpango mkakati endelevu wa kuwatambua
na kuwaandaa kikamilifu wachezaji watakaoshiriki katika mashindano mbalimbali
ndani na nje ya nchi.
Mhe Mtaka ametoa
kauli...
Friday, January 18, 2019
Friday, January 18, 2019
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Aiagiza Mikoa Minane Inayolima Pamba Kuongeza Kasi ya Usimamizi kwa Kutoa Elimu kwa Wakulima, Simiyu Yaahidi Kuongeza Uzalishaji Hadi Tani 240,000, Yajiandaa Kumkwamua Mkulima Kuondokana na Utegemezi wa Mikopo.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka akiwa na
wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama pamoja na viongozi mbalimbali ngazi ya
mkoa wakifuatilia mkutano kwa njia ya mawasiliano ya video (Video Conference) ulioongozwa
na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kujadili mwendendo wa kilimo cha Pamba.
Wajumbe...
Monday, January 14, 2019
Monday, January 14, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka Awapa Somo Wachezaji wa Timu ya Coasta Unioni ya Tanga.
RC
Mtaka Awashauri Wachezaji na Viongozi wa Coastal Union kutumia Falsafa ya
Michezo ni Ajira na Biashara Kama Njia ya Kuleta Mapinduzi ya Soka Nchini
Mkuu wa Mkoa wa
Simiyu Anthony Mtaka amewashauri wachezaji wa timu ya Coastal Union ya Tanga kutambua
kuwa michezo ni biashara na pia ni ajira hivyo...
Wednesday, January 9, 2019
Wednesday, January 09, 2019
RC Mtaka Asema Simiyu imejipanga Kuendesha Biashara Kimkakati
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu
Anthony Mtaka amezishauri taassi zinazosimamia masuala ya biashara kuwajengea
uwezo wafanyabiashara ikiwa ni pamoja na kuwaelimisha umuhimu wa kusajili
kampuni zao hatua itakayowawezesha kuendesha shughuli zao kwa tija.
Akizungumza katika
hafla ya uzinduzi wa kampeni ya kitu...
Monday, January 7, 2019
Monday, January 07, 2019
DKT. BASHIRU AWATAKA WATUMISHI WA SERIKALI KUJIFUNZA KUFANYA MAAMUZI KUTOKA KWA RAIS MAGUFULI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Taifa, Dkt. Bashiru Ally amewataka Watumishi wa Serikali kujifunza
kufanya maamuzi kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli, kwa ajili ya maslahi mapana ya Taifa.
Dkt. Bashiru ameyasema hayo mjini Bariadi
katika...