Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu nayeshughulikia watu wenye ulemavu, Mhe. Stella Ikupa ametoa
wito kwa wadau kuendelea kutoa msaada wa vifaa saidizi kwa watu wenye ulemavu
kwa kuwa hili ni hitaji endelevu kwa watu hao.
Mhe. Ikupa ameyasema hayo jana Februari 27, 2019
wakati akizungumza...
Thursday, February 28, 2019
Thursday, February 28, 2019
NAIBU WAZIRI IKUPA AWAOMBA WADAU KUWASAIDIA WALEMAVU VIFAA SAIDIZI
Thursday, February 28, 2019
DC BARIADI: WALEMAVU WATASHIRIKISHWA KATIKA FURSA ZOTE ZA KIUCHUMI
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga
amesema Serikali wilayani humo itaendelea kuhakikisha watu wenye ulemavu wanashirikishwa
katika fursa za kiuchumi ili waweze kujikwamua kiuchumi na kuondokana na
utegemezi.
Kiswaga ameyasema hayo wakati wa ziara ya Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri...
Thursday, February 28, 2019
SERIKALI KUZINDUA MFUKO WA WATU WENYE ULEMAVU
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu
anayeshughulikia watu wenye ulemavu, Mhe. Stella Ikupa amesema Serikali
inatarajia kuzindua rasmi mfuko wa watu wenye ulemavu ambao utakuwa ukishughulikia
masuala mbalimbali ya watu wenye ulemavu ikiwemo kutoa ruzuku kwa vyama vya
watu wenye ulemavu.
Mhe....
Tuesday, February 26, 2019
Tuesday, February 26, 2019
NAIBU WAZIRI IKUPA: KILIMO SI SHUGHULI YA WAZEE
Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
anayeshughulikia watu wenye ulemavu, Mhe. Stella Ikupa
amewashauri Vijana nchini, kuondokana na dhana ya kuwa shughuli za kilimo ni za
Wazee na badala yake watumie vitalu nyumba kujifunza kilimo chenye tija na
hatimaye waweze kujikwamua ...
Tuesday, February 26, 2019
NAIBU WAZIRI IKUPA ATOA WITO KWA WENYE ULEMAVU KUJIUNGA NA CHF ILIYOBORESHWA
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
anayeshughulikia masuala ya watu wenye ulemavu, Mhe.Stella
Ikupa ametoa wito kwa viongozi wa vyama vya watu wenye ulemavu,
kuwahamasisha wanachama wao kujiunga na mfuko wa afya ya jamii (CHF
)ulioboreshwa ili waweze kupata uhakika...