Tuesday, December 31, 2019

TANROADS, TARURA SIMIYU WATAKIWA KUTENGA FEDHA KUBORESHA BARABARA ZINAZOUNGANISHA SIMIYU NA MIKOA MINGINE

Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga amezipongeza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Simiyu kwa kazi nzuri zinazofanya na kuzisisitiza kutenga bajeti ya kuboresha ujenzi wa Barabara zote zinazounganisha Mkoa wa Simiyu na mikoa...

Monday, December 23, 2019

JAMII YATAKIWA KUACHA IMANI POTOFU MATUMIZI YA VIRUTUBISHI KWA WATOTO WA KIKE

Wito umetolewa kwa jamii kuondokana na mila potofu ya kuwazuia watoto wa kike wenye umri wa kuanzia miaka 10 mpaka 19 kutumia virutubishi vya madini chuma  na foliki asidi vinavyotolewa kwa rika hilo  kwa ajili ya kuwakinga na upungufu wa damu kwa madai kuwa virutubisho hivyo vibaharibu...

Wednesday, December 11, 2019

RC MTAKA AIPONGEZA AGPAHI KWA KUTEKELEZA MIRADI YENYE TIJA KWENYE SEKTA YA AFYA

Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka Shirika lisilo la Kiserikali linaloshughulikia masuala ya UKIMWI la Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI) kwa kutekeleza miradi yenye tija  katika sekta ya Afya ambayo inayoonekana na inayowagusa wananchi moja kwa moja. Mhe. Mtaka...

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!