Thursday, December 17, 2020

RC SIMIYU ASITISHA LESENI ZA UCHIMBAJI MADINI MGODI WA LUBAGA

 Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amesitisha matumizi ya leseni 18 za uchimbaji madini katika mgodi wa Dhahabu wa Lubaga uliopo mpakani mwa wilaya ya Bariadi na Busega, mpaka pale zitakapotolewa ufafanuzi na Waziri mwenye dhamana ya madini juu ya uhalali wake katika uendeshaji wa shughuli...

Wednesday, December 16, 2020

WAZIRI WA KILIMO PROF. MKENDA, NAIBU WAZIRI TAMISEMI DKT DUGANGE WANOGESHA RCC SIMIYU

 Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda na Naibu  Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Festo Dugange wameshiriki kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Simiyu (RCC), ambapo walitumia fursa hiyo kuwasilisha masuala ya kilimo na afya kwa viongozi wa chama na serikali, wakuu wa Taasisi za Umma...

TANROADS SIMIYU KUTUMIA BILIONI 11.4 UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA

 Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Simiyu umepanga kutumia kiasi cha shilingi bilioni 11.4 katika bajeti ya mwaka wa fedha 2020/2021 kwa ajili ya matengenezo ya barabara na madaraja.   Hayo yamebainishwa na Meneja wa TANROADS mkoa wa Simiyu, Mhandisi. Albert Kent wakati akiwasilisha...

Sunday, December 13, 2020

VIONGOZI, WANANCHI NA WADAU SIMIYU WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUKAMILISHA UJENZI WA MADARASA

 Na Stella Kalinga, Simiyu RS Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mhe.  Anthony Mtaka amewataka viongozi wa kisiasa kushirikiana pamoja na viongozi serikali na wadau wengine wa elimu katika kuhakikisha ujenzi wa madarasa unakamilika mapema, lengo likiwa kuhakikisha wanafunzi waliofaulu kujiunga na kidato...

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!