Wito umetolewa kwa Wananchi mkoani Simiyu kujitokeza kupima Virusi vya UKIMWI (VVU) ili kujua hali za maambukizi ili wale watakaobainika kuwa na maambukizi waweze kuanzishiwa dawa mara moja na ambao watabainika kutokuwa na maambukizi kuendelea kuchukua tahadhali dhidi ya maambukizi hayo.
Wito huo umetolewa na
Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Khamis Kulemba wakati akitoa taarifa
ya hali ya maambukizi ya VVU katika maadhimisho
ya Siku ya UKIMWI Duniani yaliyofanyika kimkoa Desemba 01, 2020 mjini Bariadi,
ambapo amebainisha kuwa pamoja na huduma za upimaji kutolewa bila malipo bado
mwitikio wa upimaji ni mdogo.
“Hadi kufikia Juni 2020
ni asilimia 74 tu ya watu wanaoishi na Virusi vya UKIMWI katika mkoa wa Simiyu
walikuwa wanafahamu hali zao za maambukizi, takwimu hizi zinaonesha kwamba
katika kila wana Simiyu 100 wanaoishi na VVU, 26 miongoni mwao hawajapima kujua
hali zao za maambukizi,”alisema Dkt. Kulemba.
Mtaalam wa Maabara kutoka
Shirika lisilo la Kiserikali la CUAMM, Juma Lupembe akichukua damu kutoka kwa
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga
kwa ajili ya kufanya vipimo, ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa
Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka, katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani yaliyofanyika kimkoa Desemba 01, 2020
Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi.
Baadhi ya wananchi wa
Halmashauri ya mji wa Bariadi wakiwa wamejipanga kwa ajili ya kupata huduma za
upimaji wa magonjwa mbalimbali, katika
maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani
yaliyofanyika kimkoa Desemba 01, 2020 Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi.
Mtaalam wa Afya kutoka
Shirika lisilo la Kiserikali la Doctors with Africa, Frank Adolf akimpima urefu
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga, katika maadhimisho ya Siku ya
UKIMWI Duniani yaliyofanyika kimkoa Desemba
01, 2020 Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi.
Mtaalam wa Afya kutoka
Shirika lisilo la Kiserikali la Doctors with Africa, akitoa maelezo ya uwiano
wa urefu na uzito na hali ya lishe kwa Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo
Kiswaga, katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI
Duniani yaliyofanyika kimkoa Desemba 01, 2020 Uwanja wa Halmashauri ya
Mji wa Bariadi.
Mkuu wa Wilaya ya
Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga(wa tatu
kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Simiyu,
viongozi wa dini na baadhi ya wadau wa
afya mkoani hapa, katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani yaliyofanyika kimkoa Desemba 01, 2020
Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi.
Meneja Mradi wa Afya
Kamilifu mkoa wa Simiyu unaotekelezwa na AMREF Health Africa, Dkt. Mathias
Abuya akitoa maelezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga (wa tatu
kushoto) juu ya mradi huo, katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani yaliyofanyika kimkoa Desemba 01, 2020
Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi.
Kaimu Mganga Mkuu wa
Mkoa, Dkt. Khamis Kulemba(kushoto)
akitoa maelezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga (katikati) juu namna Mkoa
unavyotekeleza Mradi wa Afya Kamilifu mkoa wa Simiyu chini ya AMREF Health
Africa, ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka, katika
maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani
yaliyofanyika kimkoa Desemba 01, 2020 Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi.
Kaimu Mganga Mkuu wa
Mkoa, Dkt. Khamis Kulemba(katikati)
akimuongoza Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga (kulia) na viongozi wengine kuelekea
kukagua mabanda ya huduma, ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony
Mtaka, katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI
Duniani yaliyofanyika kimkoa Desemba 01, 2020 Uwanja wa Halmashauri ya
Mji wa Bariadi.
Mkuu wa Wilaya ya
Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga(wa tatu
kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Simiyu ,
wadau wa afya na wajumbe wa kamati za usimamizi wa afya za wilaya (CMHT) ,
katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI
Duniani yaliyofanyika kimkoa Desemba 01, 2020 Uwanja wa Halmashauri ya
Mji wa Bariadi.
Kaimu Mganga Mkuu wa
Mkoa, Dkt. Khamis Kulemba(kushotoi)
akimuongoza Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga (katikati) na viongozi wengine
kuelekea kukagua mabanda ya huduma, ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa
Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka, katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani yaliyofanyika kimkoa Desemba 01, 2020
Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi.
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa, Bw. Ekwabi Mujungu akisalimiana na msanii wa kizazi kipya Fid Q mara baada ya msanii huyo kutoa burudani, katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani yaliyofanyika kimkoa Desemba 01, 2020 Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi.
Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa, Dkt. Khamis Kulemba(wa tatu kushotoi) akimuongoza Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Festo Kiswaga (katikati) na viongozi wengine kuelekea kukagua mabanda ya huduma, ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka, katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani yaliyofanyika kimkoa Desemba 01, 2020 Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi.
Kwaya ya AICT Bariadi wakiimba wimbo maalum kuhusu UKIMWI, katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani yaliyofanyika kimkoa Desemba 01, 2020 Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa BariadiBaadhi ya wananchi wa
Wilaya ya Bariadi wakimsikiliza Mkuu wa wilaya hiyo, Mhe. Festo Kiswaga wakati
akizungumza na wananchi wa mkoa wa Simiyu kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,
Mhe. Anthony Mtaka katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani yaliyofanyika kimkoa Desemba 01, 2020
Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi.
Baadhi ya wananchi wa
Wilaya ya Bariadi wakimsikiliza Mkuu wa wilaya hiyo, Mhe. Festo Kiswaga wakati
akizungumza na wananchi wa mkoa wa Simiyu kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,
Mhe. Anthony Mtaka katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani yaliyofanyika kimkoa Desemba 01, 2020
Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi.
0 comments:
Post a Comment