Friday, June 26, 2020

AGPAHI, RUWASA WATOA MSAADA WA VIFAA KWA AJILI YA TAHADHARI YA MAAMBUKIZI YA CORONA SIMIYU

Shirika lisilo la Kiserikali la AGPAHI limetoa msaada wa jumla ya vifaa 50 vya kupima joto mwili vyenye thamani ya shilingi 12,500,000/= kwa mkoa wa Simiyu kwa ajili ya kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya Virusi vya Corona. Awali akizungumza kabla ya kukabidhi vifaa hivyo Mratibu...

Wednesday, June 24, 2020

MSD YAJIPANGA KUJENGA KIWANDA CHA KUTENGENEZA GOZI NA BANDEJI

Bohari ya Dawa (MSD) inatarajia kujenga kiwanda cha kutengeneza bidhaa za afya zitokanazo na pamba hususani gozi na bandeji katika Mkoa wa Simiyu. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa MSD , Brigedia Jenerali  Dkt. Gabriel Mhidze  wakati wa ziara yake aliyoifanya Juni 24,...

Tuesday, June 23, 2020

WANANCHI SIMIYU WAIPONGEZA SERIKALI KUWAJENGEA MAHAKAMA

Wananchi wa Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu wameipongeza Serikali kwa kuwajengea mahakama ya Wilaya ya Bariadi na Mahakama ya Hakimu Mkazi Simiyu jambo ambalo limeapunguzia adha ya kutumia gharama na muda mrefu kwenda kufuata huduma za mahakama katika mkoa wa Shinyanga kama ilivyokuwa awali. Akizungumza...

Friday, June 19, 2020

CUAMM YAJENGA JENGO LA HUDUMA KWA WATU WENYE VVU SIMIYU

Shirika lisilo la kiserikali la CUAMM Doctors With Africa kupitia Mradi wa Test and Treat limejenga jengo jipya la huduma za tiba na matunzo kwa watu wenye maambukizi ya Virusi vya Ukimwi, kukarabati baadhi ya majengo na kuchimba kisima cha maji  katika zahanati ya Old Maswa iliyopo Halmashauri ya...

Kumbukumbu za Blogu

Powered by Blogger.
Subscribe Via Email

Subscribe to our newsletter to get the latest updates to your inbox. ;-)

Your email address is safe with us!