Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amesitisha
matumizi ya leseni 18 za uchimbaji madini katika mgodi wa Dhahabu wa Lubaga uliopo mpakani
mwa wilaya ya Bariadi na Busega, mpaka pale zitakapotolewa ufafanuzi na Waziri
mwenye dhamana ya madini juu ya uhalali wake katika uendeshaji wa shughuli...
Thursday, December 17, 2020
Thursday, December 17, 2020
RC SIMIYU ASITISHA LESENI ZA UCHIMBAJI MADINI MGODI WA LUBAGA
Wednesday, December 16, 2020
Wednesday, December 16, 2020
WAZIRI WA KILIMO PROF. MKENDA, NAIBU WAZIRI TAMISEMI DKT DUGANGE WANOGESHA RCC SIMIYU
Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Festo
Dugange wameshiriki kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Simiyu (RCC), ambapo
walitumia fursa hiyo kuwasilisha masuala ya kilimo na afya kwa viongozi wa
chama na serikali, wakuu wa Taasisi za Umma...
Wednesday, December 16, 2020
TANROADS SIMIYU KUTUMIA BILIONI 11.4 UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa
Simiyu umepanga kutumia kiasi cha shilingi bilioni 11.4 katika bajeti ya mwaka
wa fedha 2020/2021 kwa ajili ya matengenezo ya barabara na madaraja.
Hayo yamebainishwa na Meneja wa TANROADS mkoa wa
Simiyu, Mhandisi. Albert Kent wakati akiwasilisha...
Sunday, December 13, 2020
Sunday, December 13, 2020
VIONGOZI, WANANCHI NA WADAU SIMIYU WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUKAMILISHA UJENZI WA MADARASA

Na Stella Kalinga, Simiyu RS
Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amewataka viongozi wa kisiasa
kushirikiana pamoja na viongozi serikali na wadau wengine wa elimu katika
kuhakikisha ujenzi wa madarasa unakamilika mapema, lengo likiwa kuhakikisha
wanafunzi waliofaulu kujiunga na kidato...