Katika kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa soko la pamba mkoa wa Simiyu umeandaa mkakati
maalum wa miaka mitano (2019-2024) wa mapinduzi ya kilimo cha zao hilo ili
kujibu changamoto zinazowakabili wakulima wa pamba.
Hayo
yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka katika...
Thursday, August 29, 2019
Thursday, August 29, 2019
SIMIYU YAANDAA MKAKATI MAALUM WA MIAKA MITANO 2019-2024 WA MAPINDUZI YA KILIMO CHA PAMBA
Thursday, August 22, 2019
Thursday, August 22, 2019
WANAFUNZI WALIOPATA SIFURI MTIHANI WA ‘MOCK’ KIDATO CHA NNE SIMIYU KUWEKWA KAMBI MAALUM YA KITAALUMA
Mkuu wa
mkoa wa Simiyu, Mhe Anthony Mtaka amesema wanafunzi kidato cha nne waliopata
daraja sifuri katika mtihani wa Mkoa wa Kujipima ‘Mock’ watawekwa katika
kambi maalum ya kitaaluma na kufundishwa na walimu mahiri kwa lengo la kuwasaidia kuongeza ufaulu na
kufikia daraja la nne...
Thursday, August 22, 2019
RC MTAKA AMPONGEZA JPM KUWA MWENYEKITI SADC, ATOA WITO KWA WAWEKEZAJI VIWANDA VYA DAWA, VIFAA TIBA
Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, MHE. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika
(SADC), ambapo pia ametoa wito kwa wawekezaji kuwekeza kwenye viwanda vya dawa
na...
Wednesday, August 21, 2019
Wednesday, August 21, 2019
MILA ZINAZOCHANGIA JAMII KUTOTUMIA VYOO ZIPIGWE VITA: RC MTAKA
Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka ametoa wito kwa jamii kupiga viya mila na
desturi zinazochangia watu kutotumia vyoo na kusisitiza kila kaya ione umuhimu
wa kuwa na choo bora, ikiwa ni njia ya kuboresha afya na usafi wa mazingira na
kuondokana na hatari ya magonjwa ya
mlipuko ikiwemo...
Tuesday, August 20, 2019
Tuesday, August 20, 2019
MSD KUJENGA KITUO CHA MAUZO NA USAMBAZAJI DAWA SIMIYU
Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya dawa (MSD) Laurean
Bwanakunu amesema Bohari ya dawa inatarajia kuanza ujenzi wa kituo cha mauzo
na usambazaji dawa mkoani Simiyu ili kurahisisha utoaji
wa huduma kwa mkoa wa Simiyu na mikoa jirani.
Bwanakunu ameyasema hayo Agosti 19,2019...