Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amesema nimatarajio ya mkoa huo ni kuwa
na viwanda vichache vitakavyoajiri maelefu ya Watanzania badala ya kuwa na
viwanda maelfu vinavyoajiri watu wachache ili kuwawezesha Watanzania wengi kupata
ajira.
Mtaka ameyasema haya
Novemba 14, 2019 wakati ziara ya Balozi wa
Tanzania nchini Uturuki, Prof. Elizabeth Kiondo aliyefuatana na Mwekezaji
kutoka nchini Uturuki, Mustafa Albayram anayetarajia kujenga kiwanda cha nguo mkoani Simiyu walipotembelea kiwanda cha
kuchambua pamba cha Alliance Ginnery Ltd wakiwa katika ziara Mkoani hapa
iliyolenga kuangalia mazingira wezeshi kwa ajili ya ujenzi wa viwanda.
Baadhi ya viongozi
waliofuatana na Mwekezaji kutoka nchini Uturuki, Mustafa Albayram (wa pili
kulia) anayetarajia kujenga kiwanda cha nguo Isanga Mjini Bariadi Mkoani Simiyu
mwaka 2020 wakiangalia namna pamba ilichambuliwa inavyofungwa katika marobota, alipotembelea kiwanda cha kuchambua pamba cha
Alliance Ginnery Ltd Novemba 14, 2019 wilayani Bariadi, wakati wa ziara yake
mkoani Simiyu iliyolenga kuangalia mazingira wezeshi kwa ajili ya ujenzi wa
viwanda.
Balozi wa Tanzania
nchini Uturuki, Prof. Elizabeth Kiondo (katikati) na viongozi wengine
wakiangalia pamba walipotembelea kiwanda cha kuchambua pamba cha Alliance
Ginnery Ltd wilayani Bariadi, wakati wa ziara yake mkoani Simiyu akiwa amefuatana na Mwekezaji kutoka nchini
Uturuki, Mustafa Albayram iliyolenga kuangalia mazingira wezeshi kwa ajili ya
ujenzi wa viwanda.
Meneja Mkuu wa kiwanda cha kuchambua pamba cha Alliance Ginnery Ltd wilayani Bariadi, Bw. Boaz Ogola akitoa maelezo kwa Mwekezaji kutoka nchini Uturuki, Mustafa Albayram(wa pili kushoto), Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Prof. Elizabeth Kiondo (wa tatu kushoto) wakiwa na viongozi wengine walipotembela kiwwanda hicho wakati wa ziara yao mkoani Simiyu iliyolenga kuangalia mazingira wezeshi kwa ajili ya ujenzi wa viwanda.
Meneja Mkuu wa kiwanda cha kuchambua pamba cha
Alliance Ginnery Ltd wilayani Bariadi, Bw. Boaz Ogola(wa tatu kulia mbele)
akiwaongoza viongozi waliofuatana na Mwekezaji kutoka nchini Uturuki, Mustafa
Albayram (wa pili kulia) anayetarajia kujenga kiwanda cha nguo Mkoani Simiyu
mwaka 2020 alipotembelea kiwanda cha kuchambua pamba cha Alliance Ginnery
Ltd Novemba 14, 2019 wilayani Bariadi, wakati wa ziara yake mkoani
Simiyu iliyolenga kuangalia mazingira wezeshi kwa ajili ya ujenzi wa viwanda.
Mtaalam wa mbegu kutoka
katika Kampuni inayochakata mbegu ya CUTTON akioa maelezo kwa viongozi
mbalimbali waliofuatana na Mwekezaji kutoka nchini Uturuki, Mustafa Albayram (wa
tatu kulia) anayetarajia kujenga kiwanda cha nguo Mkoani Simiyu mwaka 2020 alipotembelea
kiwanda cha kuchambua pamba cha Alliance Ginnery Ltd Novemba 14, 2019 wilayani Bariadi, wakati wa ziara yake mkoani
Simiyu iliyolenga kuangalia mazingira wezeshi kwa ajili ya ujenzi wa viwanda
akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Prof. Elizabeth Kiondo (wa pili
kulia).
Baadhi ya viongozi wa
Mkoa wa Simiyu wakiwa na Mwekezaji kutoka nchini Uturuki, Mustafa Albayram, alipotembelea
kiwanda cha kuchambua pamba cha Alliance Ginnery Ltd Novemba 14, 2019 wilayani Bariadi, wakati wa ziara yake mkoani
Simiyu iliyolenga kuangalia mazingira wezeshi kwa ajili ya ujenzi wa viwanda.
Baadhi ya wataalam wa kiwanda cha kuchakata
mbegu ya pamba cha CUTTON wakimuonesha jambo Mwekezaji kutoka nchini Uturuki,
Mustafa Albayram, alipotembelea kiwanda cha kuchambua pamba cha Alliance
Ginnery Ltd Novemba 14, 2019 wilayani
Bariadi, wakati wa ziara yake mkoani Simiyu iliyolenga kuangalia mazingira
wezeshi kwa ajili ya ujenzi wa viwanda.
Balozi wa Tanzania
nchini Uturuki, Prof. Elizabeth Kiondo (katikati) akiwa katika picha ya pamoja
na Mwekezaji kutoka nchini Uturuki, Mustafa Albayram(wa tano kushoto), baadhi
ya viongozi wa mkoa wa Simiyu na wadau wengine wa maendeleo wa Mkoa wa Simiyu
mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili Novemba 14, 2019 akiwa
amefuatana na mwekzaji huyo kwa lengo la kuangalia mazingira ya uwekezaji
katika viwanda.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,
Mhe. Anthony Mtaka akitoa neon la shukrani mara baada ya kuhitimishwa kwa ziara
ya Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Prof. Elizabeth Kiondo (kulia) mkoani
Simiyu ambapo alifuatana na Mwekezaji kutoka nchini Uturuki, Mustafa Albayram
(kushoto) iliyolenga kuangalia mazingira wezeshi kwa ajili ya ujenzi wa
viwanda.
Balozi wa Tanzania
nchini Uturuki, Prof. Elizabeth Kiondo (katikati) akiwa katika picha ya pamoja
na Mwekezaji kutoka nchini Uturuki, Mustafa Albayram(wa tano kushoto), baadhi
ya viongozi wa mkoa wa Simiyu na wadau wengine wa maendeleo wa Mkoa wa Simiyu
mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili Novemba 14, 2019 akiwa
amefuatana na mwekezaji huyo kwa lengo la kuangalia mazingira ya uwekezaji
katika viwanda.
Meneja Mkuu wa kiwanda
cha kuchambua pamba cha Alliance Ginnery Ltd wilayani Bariadi, Bw. Boaz Ogola
akitoa maelezo kwa Mwekezaji kutoka nchini Uturuki, Mustafa Albayram(wa tatu
kushoto), Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Prof. Elizabeth Kiondo (wa pili
kulia) wakiwa na viongozi wengine
walipotembela kiwanda hicho wakati wa ziara yao mkoani Simiyu iliyolenga
kuangalia mazingira wezeshi kwa ajili ya ujenzi wa viwanda.
Kutoka kulia Mwekezaji
kutoka nchini Uturuki, Mustafa Albayram anayetarajia kujenga kiwanda cha nguo
mkoani Simiyu, Meneja Mkuu wa kiwanda cha kuchambua pamba cha Alliance Ginnery
Ltd wilayani Bariadi, Bw. Boaz Ogola na Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony
Mtaka wakiteta jambo wakati wa ziara ya
mwekezaji huyo katika kiwanda cha Aliance Ginnery Ltd Novemba 14, 2019.
Meneja Mkuu wa kiwanda
cha kuchambua pamba cha Alliance Ginnery Ltd wilayani Bariadi, Bw. Boaz
Ogola(kulia) akitoa maelezo kwa Mwekezaji
kutoka nchini Uturuki, Mustafa Albayram anayetarajia kujenga kiwanda cha nguo
mkoani Simiyu na viongozi wengine wakati wa ziara ya mwekezaji huyo katika
kiwanda cha Aliance Ginnery Ltd Novemba 14, 2019 .
Mwekezaji kutoka nchini
Uturuki, Mustafa Albayram anayetarajia kujenga kiwanda cha nguo mkoani Simiyu
akimuonesha kitu Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka wakati wa ziara
yake katika kiwanda cha Aliance Ginnery Ltd Novemba 14, 2019 .
Baadhi ya viongozi wa mkoa wa Simiyu na wadau wengine
wa pamba wakiangalia pamba walipotembelea kiwanda cha kuchambua pamba cha
Alliance Ginnery Ltd wilayani Bariadi, wakati wa ziara ya Balozi wa Tanzania
nchini Uturuki, Prof. Elizabeth Kiondo mkoani Simiyu(hayupo pichani) ambaye
alifuatana na Mwekezaji kutoka nchini Uturuki, Mustafa Albayram, iliyolenga
kuangalia mazingira wezeshi kwa ajili ya ujenzi wa viwanda.
Katibu Tawala wa Mkoa
wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini(kushoto) akifurahia jambo na mara baada ya
kumaliza ziara yake ya siku mbili Novemba 14, 2019 akiwa
amefuatana na Mwekezaji kutoka nchini Uturuki, Mustafa Albayram kwa lengo la
kuangalia mazingira ya uwekezaji katika viwanda.
0 comments:
Post a Comment