Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. David Kafulila ametoa pongezi hizo mara baada ya kutembelea kituo cha afya cha Barikiwa kilichopo Wilayani Maswa, kituo ambacho kimejengwa na mwanadada Mtanzania, mzaliwa wa Maswa ambaye ni Daktari.Akitoa Pongezi hizo Mhe. Kafulila amefurahishwa sana, mara baada ya kuona...
Wednesday, February 23, 2022
Wednesday, February 23, 2022
Mhe. Kafulila Ampongeza Diaspora wa Kike ( Dkt. Ashley Lucas) toka Simiyu, Daktari aliyeamua kuwekeza nyumbani.
Tuesday, February 22, 2022
Tuesday, February 22, 2022
Serikali kukifufua Kiwanda Cha Kuchambua Pamba cha Sola Wilayani Maswa
MKUU wa Mkoa Simiyu, David Kafulila ametaka kujua hatua zilizochukuliwa na Jeshi la Polisi dhidi ya Askari,Nuru Mtafya anaetuhumiwa kumpa ujauzito Mwanafunzi anayejulikana kwa jina la Neema Mabula wa shule ya Sekondari iliyopo wilayani Maswa mkoani humo.Uamuzi huo umefikiwa na RC Kafulila mara...
Monday, February 21, 2022
Monday, February 21, 2022
Serikali Kukifufua Kiwanda Cha Kuchambua Pamba Cha Sola Wilayani Maswa
SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu imepanga kufufua viwanda viwili vya kuchambua pamba na kukamua mafuta ya pamba musimu huu wa ununuzi wa zao la pamba wa mwaka 2022/2023.Miongoni mwa viwanda vitakavyofufuliwa ni pamoja na Kiwanda cha Kuchambua Pamba cha Sola(Maarufu kwa jina la Sola Ginnery) kilichoko mjini Maswa pamoja na kiwanda cha Lugulu kilichoko wilaya...
Monday, February 21, 2022
ITUNZENI MITARO- RC KAFULILA
MKUU wa Mkoa wa Simiyu,David Kafulila amewataka wananchi wa Mji wa Maswa mkoani humo kuitunza Mitaro ya maji ya mvua inayojengwa kwenye baadhi ya barabara za mitaa ya mji huo.Sambamba na kuitunza amewataka kuifanyia usafi wa mara kwa mara na kutotupa takataka ndani ya mitaro hiyo ili iweze kuwasaidia...
Thursday, February 17, 2022
Thursday, February 17, 2022
Tumieni Wakandarasi na Watoa Huduma Kutoka Simiyu- RC Kafulilla
Mhe. Kafulila ameyasema hayo hivi karibuni akiwa ameambatana na kamati ya Ulinzi na usalama ya Mkoa pamoja na mkuu wa Wilaya ya Bariadi, wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa Chuo cha VETA mkoani Simiyu. Mhe. Kafulila ametoa maelekezo hayo mara badaa ya kupokea taarifa kutoka kwa...
Wednesday, February 16, 2022
Wednesday, February 16, 2022
WACHIMBAJI, UHAI WENU NI MUHIMU KULIKO MADINI, FUATENI TARATIBU -RC KAFULILA,
Mhe.Kafulila ameyasema hayo leo, wakati alipotembela mgodi wa EMJ, Dutwa wilayani Bariadi. Mhe kafulila amefanya ziara hiyo ili kukutana na kutatua kero za wachimbaji. Wakizungumzia kero zao, Wachimbaji hao wametaja kero hizo kuwa ni pamoja na kukatazwa kuchimba kwenye baadhi ya maeneo, uwepo wa mwekezaji...