Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. David Kafulila ametoa siku saba kwa Kampuni ya Daska Company Ltd, kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa Barabara ya Byuna/Nkindwabiye/ Halawa barabara yenye urefu wa 14.9km. Thamani ya mradi/mkataba huo ni Tsh.139.993 mln.“Tofauti na hapo mkataba uvunjwe na taratibu zifuatwe...
Tuesday, March 15, 2022
Tuesday, March 15, 2022
MKANDARASI APEWA SIKU 7 KABLA MKATABA KUVUNJWA
Tuesday, March 15, 2022
MKANDARASI APEWA SIKU 7 KABLA MKATABA KUVUNJWA
Thursday, March 10, 2022
Thursday, March 10, 2022
Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, TUGHE-Simiyu Yatoa Msaada Kituo cha Afya Ikindilo.
Sherehe ya siku wa Wanawake duniani, huadhimishwa kila tarehe nane ya mwezi wa tatu. Katika kuadhimisha sherehe hizo, 2022, kama ilivyo ada Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE-Simiyu), waliamua kufanya matendo ya huruma Wilayani Itilima ambapo ndipo sherehe za siku ya mwanamke kimkoa zimefanyika.Akiwakaribisha...
Wednesday, March 9, 2022
Wednesday, March 09, 2022
Wanawake Endeleeni Kufanya Kazi Kwa Bidii na Kuonyesha Mfano, Mafanikio Yenu Yasiwapelekee Kujisahau Kwamba Baba ndie Kichwa Cha Familia- RC KAFULILA
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. David Kafulila ameyasema hayo wakati wa sherehe ya siku ya wanawake Duniani, ambayo kimkoa imefanyika katika wilaya ya Itilima.Mhe. Kafulila ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi ametembelea na kukagua mabanda ya wajasiriamali na kuwaagiza wakuu wa...